Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Huyo ni dume aliehama Kijiji/zizi

We fanya kilichokuleta dar utapata mishangazi humo humo kazini, usitafute mshangazi we saka πŸ’ΈπŸ’Έ utapata tu
Daaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ngoja nitafute pesa mkuuu ..
Ngoja nikaze aiseeee mwezi wa ngapi hivi taenda huko dasalam yaani mi ni kazi kazi...

Japo nilikujaga ila nilipiga kazi flan hivi kiwanda cha kutengeneza nondo aiseeeee,, huko watu wana lifecycle ngumu sana πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em Sema kweli? Ni wa JF?
🀣🀣🀣🀣 Eeeh udugu wa JF yule yule kibaka wangu wa siku zote πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Kwamba mwanaume anaweza kufunga mlango wa nyumba tunayoishi pamoja nisiingie eti sababu nimechelewa kurudi. Na kwamba anategemea akinifungia hivyo niende kulala kwa wazazi wanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Kwahy ndio ticket ya kwenda kumpelekea jamaa aliyekuchelewesha kurudi kwa mumeo aipige mpaka asubuhi.?
 
Na huu ukweli mchungu ambao wanawake wanaupinga.......ngoja niishie hapa nisijeonekana nawavunjia watu heshima bure
na wewe na huyo mwenzako munatuvunjia heshima kweli kweli. Hivi hao watoto unaowaita 'watoto wangu' uliwachukulia mimba na kuhangaika wewe? Wewe si umejua kudeposit mbegu tu ukaishia huko!

Vile unavyopikiwa, kufuliwa nguo, pasi na nyumba yako kuwekwa katika hali ya usafi siyo mchango huo?

Ama kweli nyinyi hamuna shukurani hata kidogo.
 
Back
Top Bottom