Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msome kwa herufi kubwa asikusumbue 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaani ananinunia mno
Tangu majuzi nipo makini na ushauri wako message zake nasoma "HAI LAVYUU MAHII"Msome kwa herufi kubwa asikusumbue 🤣🤣🤣
Safi kabisa umekwiva!! Na usisome kwa sauti yake utajichanganya 🤣🤣🤣Tangu majuzi nipo makini na ushauri wako message zake nasoma "HAI LAVYUU MAHII"
Sio upo single tuu..Kuna issue nilikuwa nafanya melah atoke wapi mi niko single ready to mingle 🤣🤣🤣
Sitaki kulia tena 🤣Safi kabisa umekwiva!! Na usisome kwa sauti yake utajichanganya 🤣🤣🤣
Niko njia panda ya ulaya 🤣🤣🤣Sio upo single tuu..
Pia upo dasalamu et..
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Na kwann umlilie mtu mwenye meno 32 yaliyokuwa mazima na mabovu.?? 😂😂😂Sitaki kulia tena 🤣
Ewaah 😂😂😂😂😂😂 huyo chinno wangu wa JF
Nyoooooh....Niko njia panda ya ulaya 🤣🤣🤣
Wanaita truuu lavu🤣Na kwann umlilie mtu mwenye meno 32 yaliyokuwa mazima na mabovu.?? 😂😂😂
Shangazi yako umemuacha huko huko vichakani 😂😂😂Nyoooooh....
Nakuja dasalam huko... Najua utanipokea kabla sijakutana na mshangazi.....
🤣🤣🤣🤣 hapo kwanza nncheke hivi bado ipogo truu lavu??Wanaita truuu lavu🤣
Hakuna aisee yamebaki manyoya tu 🤣🤣🤣🤣🤣 hapo kwanza nncheke hivi bado ipogo truu lavu??
Naanzaje kulea dume zima na vipira vyake 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu ameolewaa, na bwana anae.
Au unataka ujiweke akulee? Ukomeeee!!!
Ni kudanganyana na kusogeza muda tyuu.!! 🤣🤣Hakuna aisee yamebaki manyoya tu 🤣
Hayupo huku 😂😂😂😂😂Shangazi yako umemuacha huko huko vichakani 😂😂😂
Daaah aiseeeee 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌Naanzaje kulea dume zima na vipira vyake 🤣🤣🤣
Yy apambane na shangazi yake mlezi wa wana
Zawadi yako ipo ni wewe tu kuwa na utayari wa kuipokea🤣🤣🤣🤣 Sikutajii nipe zawadi kwanza