fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Fidel?😳 Hilo jina la nani? Seems like ulikuwa unanichokonoa kuanzia mwanzo si ndivyo?Acha ujanja Fidel, jina lako limenikumbusha jina LA mtoto wa raila marehemu Fidel Castro odinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fidel?😳 Hilo jina la nani? Seems like ulikuwa unanichokonoa kuanzia mwanzo si ndivyo?Acha ujanja Fidel, jina lako limenikumbusha jina LA mtoto wa raila marehemu Fidel Castro odinga.
Unapenda sana kucheka hutozeeka haraka.Is this language similar to English or? Dogo kama hujui lugha tulia na jifunze toka kwa wakubwa wako. Sasa ndio umeandika nini hapo? We Lamomy njoo umsaidie rafikiyo huku🤣🤣🤣
Mahari yako Kwanza tuanze hapoNasubiri
Kwanini unatumia multiple I'd rafiki yangu?Unapenda sana kucheka hutozeeka haraka.
sounds kali kaliMahari yako Kwanza tuanze hapo
Why marry her?Zaidi ya kupata nae watoto hana kingine kipya anacho-offer kwa family yaani huyu mke ni mzigo pro max ,biashara hawezi,shule alishindwa yaani unaamka asubuhi unarudi jioni unamkuta palepale utafikiri ni jiwe
she is very beautiful na amenizalia watoto wazuri kwakwel naomba tu wasiwe mandezi kama mama yaoWhy marry her?
Ninazo mbili tu nyingine nilisahau passwordKwanini unatumia multiple I'd rafiki yangu?
🤣Kuna mmoja alisema hivi hivi .
Nilipo mfata PM sasa
😁😁😁😁😁
Kumbe ni njemba ilianza kunitukana aiseeeee nikajutra
Aiseh!wakati Kwa make ndio Kila saa inasimama!!?au Hana hisia na wewe!!?Nilijua tutaendelea kufanya kila siku, kumbe kuna muda haisimami hata umkalie kichele😝
😂Humu Kuna wanawake wanatunia I'd za kiume Na wanaume wanatumia I'd za kikeKhaaa ujakutana nao tuu...
Kuna watu wapo very matured kwenye matusi...
Hujibu unabaki unaguna tuu mmmh mmmh 😂😂😂😂
Nilipogundua kwamba kumbe kwenye ndoa kuna muda unanyimwa ufa.!Habari za muda huu wanajamii,
Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha.
Ndoa ni taasisi ambayo kabla hujaingia unakuwa na matarajio makubwa yaliyojaa furaha kutokana na jinsi unavyompenda mwenza wako lakini wakati mwingine mambo huwa tofauti na vile ulivyofikiria yanaweza kuwa hasi au chanya.
Je ulipatwa na mshangao gani mkubwa baada ya kuingia kwenye ndoa?
Unaweza uka share na kuwa funzo kwa wengine ambao ni watarajiwa.
Hapo sasa!!ukiuweza huo mtego tu we ni superman!!ukishindwa tu atarudia hiyo trik Hadi ukome!!Nilipogundua kwamba kumbe kwenye ndoa kuna muda unanyimwa ufa.!
Hahahaha!!!Nilipogundua kwamba kumbe kwenye ndoa kuna muda unanyimwa ufa.!
Ukakiri kabisa wewe ni miongoni mwa wale wenye I'd nyingi katika uwanja huu wa JF. Ila nashukuru ulichokifanya kimenifanya nikutambue. That was a call of identification😆😆Ninazo mbili tu nyingine nilisahau password