Wakati mtoto wa Africa michezo yake ni kuchungulia watu chooni wakiwa haja au wakioga au kudandia Magari barabarani,,
Au kwenda kuogelea kwenye mabwawa ya maji machafu.
Watoto wa kizungu na wengineo Asia wao michezo yao ni kuchezea computer na vyombo vingine vya electronic,
Unadhani watakuwa na akili Sawa?
Mchukuwe huyo mtoto wa kijapan au mzungu aje alelewe buguruni kwa mnyamani,au tandale kwa tumbo.
Kama atakuwa na akili Sawa na wazungu wenzie
Kinachotushinda Sisi waafrica kuwa na akili Sawa na wazungu au waasia Ni mazingira tunayoishi na kukulia.
Ila wote akili zetu Sawa ..