Kitu gani kinafanya watu wa Asia Mashariki (Wachina, Wajapan, Wakorea) kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyingine zote duniani?

Kitu gani kinafanya watu wa Asia Mashariki (Wachina, Wajapan, Wakorea) kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyingine zote duniani?

Umeongea suala ambalo kuna mserbia aliwahi kuniambia. Inawezekana ni kweli kabisa. Alinambia gunduzi nyingi tunazoziona si akili ya kibinadamu. Yule mtasha ni symbologist alikua. Ana mambo na maelezo ya ajabu sana mpaka nikawa namuogopa sana.
nchi kama Switzerland, marekani, na mataifa mengine makubwa, kuna wanadamu ambao sio pure wanadamu. ni mashetani nusu. mashetani yanayo uwezo kuingia kwenye tumbo la mwanamke na kuzaliwa kama mtu, na hivyo ndivyo atakavyokuwa mpinga Kristo. kuna cult nyingi sana za kizungu ila cult zao sio za kitoto, siu uchawi wa kitoto, ni maagano kabisa wanaingia na mashetani ya kiwango cha juu sana na ndio wanawaibia na siri na kuleta kwenye inventions. ni zaidi ya cults za freemasons.
 
Shauli yako ngoja wakusikie mafarisayo na masadukayo wa_ebrania wa buza hakuna wa kuizidi nchi yao.
 
Wakati mtoto wa Africa michezo yake ni kuchungulia watu chooni wakiwa haja au wakioga au kudandia Magari barabarani,,
Au kwenda kuogelea kwenye mabwawa ya maji machafu.

Watoto wa kizungu na wengineo Asia wao michezo yao ni kuchezea computer na vyombo vingine vya electronic,

Unadhani watakuwa na akili Sawa?

Mchukuwe huyo mtoto wa kijapan au mzungu aje alelewe buguruni kwa mnyamani,au tandale kwa tumbo.

Kama atakuwa na akili Sawa na wazungu wenzie

Kinachotushinda Sisi waafrica kuwa na akili Sawa na wazungu au waasia Ni mazingira tunayoishi na kukulia.
Ila wote akili zetu Sawa ..
 
Mkuu nadhani hii SGR ya kwetu ilitakiwa kipande Cha moro - Dodoma tukijenge wenyewe maana tushajifunza kwa kipande cha dar - moro
Wabongo tulivyo wazembe hata kuthubutu tunaogopa masoud kipanya katengeneza kigari ulisikia walichoongea mabosi wa tbs [emoji23][emoji23]
 
Kwamba sisi jamii zengine zote duniani tuliobaki hutuweki nia na juhudi ?
Sisi Tunawekeza nia na juhudi zaidi, 1000% kwenye ufisadi. Niambie ni mjapani gani au mkorea anaweza kutufikia kwa kiwango hicho?
 
Back
Top Bottom