Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

Je vipi na ile kauli "fanya haraka mwenzio nilale"?
 
Sio misingi yangu, nimekuuliza hiyo misingi ya haki sawa tunayoidai(wanawake) unaijua?? Ukishaijua hutouliza tena hilo swali

Wew ni mwanamke thts why, nikaongelea kwa nafsi yako.
 
Mimi honestly i dnt keep things kama nikiona mtu anaenda ndivyo sivyo, namuask maswali ya msingi mawili,matatu then majibu yake na actions zake after yatanipa maamuzi ya ku move on au kubaki.

me too na nipo strict sana na muwazi wa hali ya juu
 
mie kinachoniudhi ni pale mnajiandaa weee, kila mtu yuko tayari mara HUN wacha nikakoje kwanza!!!! stream yoooooote inaisha!!
 
Nakereka sana unapomuaandaa weee mambo yanazd kuwa matam zaid ya mcharo unaskia at ngoje niende wan yaaaan nakerekaaa nataman nmzabe vbaoo lakin ndo inabd ntulie papuch naitaka
 
Eeeeeeh mkuu umekiri Leo ni mbeba box ??
 
Nakereka sana unapomuaandaa weee mambo yanazd kuwa matam zaid ya mcharo unaskia at ngoje niende wan yaaaan nakerekaaa nataman nmzabe vbaoo lakin ndo inabd ntulie papuch naitaka

hahahaahaahahhhaah.....
 
Kwani wapi nishawahi kukataa kwamba mimi si mbeba mabox?

Wewe kwani umejiunga lini humu JF mpaka usijue kwamba mimi ndo Rais wa Wabeba mabox?

Sina mda humu ...sema kuna wakati flani mada zenu za diaspora unakua mkali Sana wakati watu wakisema maisha ya wabeba ma box huku mlipo ni tabu Sana
 
Sina mda humu ...sema kuna wakati flani mada zenu za diaspora unakua mkali Sana wakati watu wakisema maisha ya wabeba ma box huku mlipo ni tabu Sana

Hivi kwa akili yako, mtu ambaye humjui hata anafananaje na kikweli kweli hujui hata alipo (maana ninaweza nikawa nadanganya naishi majuu kumbe naishi Bhugimbagu huko), utasemaje anaishi maisha ya tabu?

Kwa mfano wewe hapo, unaweza kujua kwa uhakika kabisa jinsi maisha yangu yalivyo?

Achana na maneno ya wehu hayo. Kazi yao kuropoka ropoka juu ya mambo wasiyoyajua.
 
Sawa mkuu
 
sipendi anayekataa kuosha rungu langu au anayekataa nisizame chumvini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…