Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

Utamvua nguo zote.. kuna nguo moja ya mwisho kumvua ndo ugomvi!! Mpaka umvue utumie nguvu za kutosha..
 

Yote ya nini hayo Dada angu .
....we si umeuliza yanayotu turn off na mie si nmekwambia yangu...this is a free country...

Kuhusu suala la muhimbili...it looks like you know nothing coz duniani hakuna kisichokua na madhara...what about tezi dume
 
Kitu kikubwa kinachovutia katika mahaba ni USAFI...unapo ongelewa usafi watu wenye utimamu wa akili watakuwa wanaelewa nini kinazungumziwa......binafsi suala la usafi kwa mwanamke huwa nalipa kipaumbele sana.

..unatakiwa unapokuwa faragha na mwanamke milango yako yote ya fahamu inatakiwa ijue na itambue uwepo wa mwanamke mahali hapo...mwanamme anayezingatia ubora wa faragha na sio msukumo wa kichwa cha chini USAFI kwa mpenziwe ni suala muhmu kama katiba ya nchi....na hapo ndipo inapojitokeza utofauti kati ya MWANAMKE na MSICHANA.....
 
Yote ya nini hayo Dada angu .
....we si umeuliza yanayotu turn off na mie si nmekwambia yangu...this is a free country...

Kuhusu suala la muhimbili...it looks like you know nothing coz duniani hakuna kisichokua na madhara...what about tezi dume

sor nimekuvunjia heshima

so akikunyima huduma jamaa anarudishwa kabisa kwenye zipu?
 

usafi wa eneo la tukio muhimu

vipi kuhusu hiyo tofauti?
 
Utamvua nguo zote.. kuna nguo moja ya mwisho kumvua ndo ugomvi!! Mpaka umvue utumie nguvu za kutosha..

so hiyo ni kero yako?? unapenda iweje

aitoe/watoe bila kulazimishwa???
nafikiri lazima umtengenezee mazingira ya kufanya hivyo
 
Ngoja nimsemee wife... (Wakati namuoa) Kama ilivyo ada ya wanaume, kila ukiamka asubuhi mnara unasoma full!! Naamkia kumwandaa na akiwa on basi najikuta nnahisi mkojo kwa mbali naamua kwenda kuclear bladder ili game inoge!! Alikuwa anachukia kweli na kuwa off kabisa hadi nikashangaa!! Nilipoona vile kwa mara mbili nikaona naharibu!! Nikiamka naanzia bafuni then morning glory...

Baadae akaja kuniambia alikuwa hapendi hiyo tabia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…