Kitu gani kinazorotesha kasi ya maendeleo yako?

Namba 4 apo imekua tatizo kwangu
 
Lipe moja uzito likiisha unaanza lingine. Nina moja kibamba nimelipangisha litajijenga lenyewe
Vyote Ni muhimu,
Hapo ndo Kuna Changamoto.

Na kuuza pagale Ni sawa na Kutoa sadaka,

Watu wakishaona ili Ni pagale, anataka akulalie Bei.

Unakuja kuona upuuzi niuze nusu au robo ya gharama nilotumia, BORA TU KIKAE.
 
Vyote Ni muhimu,
Hapo ndo Kuna Changamoto.

Na kuuza pagale Ni sawa na Kutoa sadaka,

Watu wakishaona ili Ni pagale, anataka akulalie Bei.

Unakuja kuonani upuuz niuze nusu au robo ya gharama nilotumia, BORA TU KIKAE.
Basi pambana navyo vyote kwa pamoja kama huwezi kuanza na moja
 
1. Ndugu na mashemeji,
yani kabla mwisho wa mwezi haujafika tayari wameshakulilia shida na nini cha kufanya kutokana na matatizo yaliyopo.

2. Kodi ya nyumba kwa maeneo ya karibu na town ipo juu.

3. Ada za chuo kuwalipia ndugu na kujilipia mimi.

4. Wanawake, kuna huyu mmoja anajifanya high class yani hela lazma ikutoke tu, halafu kumuacha nimejaribu mara kadhaa imeshindikana.

5. Shamba, vile lipo mbali na sina uzoefu basi kila mara kwa pale kijijini wanataka ulisafishe kusiwe pori, serikali ya kijiji wanaweza kulichukua likiwa halihudumiwi.
 
Pole sana mkuu kwanini upange karibu na mjini kama unaweza kukaa nje kidogo kwa gharama ya chini?

Hao ndugu sometimes unawakaushia tu kwani nini? Labda mtu aje na shida ambayo haiwezekani kumuacha
 
Mawazo na mipango,vinapishana na Utakelezaji!
 
Dah wanangu ambao tunashindwa elewa tunakosea wapi mpaka pesa za kuspend hatuna nafikiri tuanzishe movement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…