Kitu gani kinazorotesha kasi ya maendeleo yako?

Kitu gani kinazorotesha kasi ya maendeleo yako?

Huyu jamaa niliyemkopesha ni wazi anadhorotesha maendeleo yangu. Ni muda mrefu sana kajisahaulisha kulipa na status zake zinaonekana akila bata, mara mjengo wake, mara gari yaani naumia tu.
Mtimbie kwake na wana [emoji41][emoji1018][emoji1009][emoji379][emoji379]🪓[emoji1016][emoji1015][emoji380]
 
Habari za asubuhi watu wa Mungu nyie siyo watu wangu 😎 😎

Leo nimewaza sana kwamba kuna vitu fulani au tabia fulan tunazo maishani zinatufanya tutumie hela rafu na kujikuta mwaka unaisha maisha yako yapo kama ya mwaka uliopita. Kuna baadhi ya mambo yanapelekea tunatumia fedha kidogo tunazopata kuyafanya na kujikuta hatusogei kabisa kimaisha.

Sitoi lecture namna ya kutumia pesa zako. Kwa mimi ntataja baadhi ya vitu vinavyomaliza pesa zangu.

1.0 Gari
Haka kagari yaani kanakula sana sehemu kubwa ya fedha zangu ambazo kananisaidia kuzipata yaani tunaenda paso kwa paso
mafuta, service, urembo( Kila kinachopendezesha gari nikikiona lazima nikitafute kwa garama yoyote, Sport Rims, Profile tyres, Android radio NK.

2.0 Gambe
Yaani nikipata pesa ambayo haikuwa kwenye official mishe zangu lazima niitie kiberiti naweza kupata 70k mchana ikifika usiku nina 10.

3.0 Wanawake
Kuna kipindi nilikuwa na mahusiano na wanawake wa4 aisee, yaani ni kama wana majini siku nikipata hela tu ndio siku hiyo nakumbukwa na kila mmoja, nikipigwa mizinga ya 20k tu kwa kila mmoja 80k ishadondoka nkaachana na watatu amebaki mmoja tu mtarajiwa tu😎

Ukipata demu mpya lazima utumie zaidi ya ulichopanga yaani kukutana na demu mara moja tu ni matumizi hayapungui 70+
(sipeleki demu kwangu so lodge inahusika + vinywaji+chakula na posho+ usafiri). Siku hizi hawanipi shida sana kwa kuwa naweza kuchepuka mara moja tu ndani wiki6 mi saivi sio mtumwa saaaana wa sex haya nimemwachia Zero IQ.

4. Bando
Haka kaeneo nako kanachangia sana maana siwezi kutokuwepo hewani maana net pia kwa sehemu flani inaendesha maisha yangu nje ya ajira.

Kuna mengine mengi ila kwa leo haya yanatosha kuyafanya maisha yangu kutosogea kwa kasi ninayoipanga.

Hebu tutajie nini kinarozotesha kasi ya maendeleo yako?
Kamari
 
Kinachonishinda sina roho ya kumnyima ndugu akija kueleza shida huwa najikuta natoa akiba yangu mkuu
Kusogea kimaisha kwa sisi tuliotoka kaya za chini ni ngumu sana

Kamshahara ka laki7 kila ndugu anataka umsomeshee mwanawe[emoji26][emoji26][emoji26].

Mi shawekaga misimamo yangu mzee ndio alifanya hivyo mi nshachora mstari nlimsomesha mmoja nikawaambia IT'S ENOUGH!!
Now I'm free
 
Gambe na wanawake... Hili la bando nalo linachangia kwa kiasi fulani
 
Back
Top Bottom