supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Siku ukikosa na connection zikipotea. Huwezi amini hakuna atakaekusaidia katika hao hao unawasaidia sasa hv.Mimi ndugu nadhani washajua udhaifu wangu nikiwa na pesa sijui kumnyima ndugu hata kama shida ni ya uongo
Inabidi tu uwakazie sura tu. Jifunze kusema "HAPANA", "SINA" macho makavu tu bila kutoa maelezo kwanini huna.