Kitu gani kinazorotesha kasi ya maendeleo yako?

Huyu jamaa niliyemkopesha ni wazi anadhorotesha maendeleo yangu. Ni muda mrefu sana kajisahaulisha kulipa na status zake zinaonekana akila bata, mara mjengo wake, mara gari yaani naumia tu.
Mtimbie kwake na wana [emoji41][emoji1018][emoji1009][emoji379][emoji379]🪓[emoji1016][emoji1015][emoji380]
 
Kamari
 
Yaani hao ndugu unawapa hela baada ya kutimiza.mipango.yako

Otherwise wote wewe na wao.mtapiga makitaim hapo hapo
Kinachonishinda sina roho ya kumnyima ndugu akija kueleza shida huwa najikuta natoa akiba yangu mkuu
 
Kinachonishinda sina roho ya kumnyima ndugu akija kueleza shida huwa najikuta natoa akiba yangu mkuu
Kusogea kimaisha kwa sisi tuliotoka kaya za chini ni ngumu sana

Kamshahara ka laki7 kila ndugu anataka umsomeshee mwanawe[emoji26][emoji26][emoji26].

Mi shawekaga misimamo yangu mzee ndio alifanya hivyo mi nshachora mstari nlimsomesha mmoja nikawaambia IT'S ENOUGH!!
Now I'm free
 
Gambe na wanawake... Hili la bando nalo linachangia kwa kiasi fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…