supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Siku ukikosa na connection zikipotea. Huwezi amini hakuna atakaekusaidia katika hao hao unawasaidia sasa hv.Mimi ndugu nadhani washajua udhaifu wangu nikiwa na pesa sijui kumnyima ndugu hata kama shida ni ya uongo
bado sija settle vizuri kiuchumi,bado sijapata mwanamke nimtakae awe mke.Nini kinakuzuia??
Mkuu kama una kakipato kakula wewe na yeye kanatosha.bado sija settle vizuri kiuchumi,bado sijapata mwanamke nimtakae awe mke.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha gambe oaGambe na papuchi havijaniacha salama kabisaaa.
Hiyo simple tuKwa upande wangu ni kushindwa kupanga mipango ya kila siku..
Pole Sana aisee,Mimi ndugu nadhani washajua udhaifu wangu nikiwa na pesa sijui kumnyima ndugu hata kama shida ni ya uongo
[emoji851][emoji851][emoji851] akaze huyu sisterPole Sana aisee,
Ndugu wanapima upepo, ukiwa wa Kutoa toa hata Kama unakipato kidogo watakomaa na wewe nakuwaacha wenye Ela.
Asante mkuuPole Sana aisee,
Ndugu wanapima upepo, ukiwa wa Kutoa toa hata Kama unakipato kidogo watakomaa na wewe nakuwaacha wenye Ela.
Nadhani bora nikae mbali nao[emoji851][emoji851][emoji851] akaze huyu sister
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]Nadhani bora nikae mbali nao