ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hio story haina relation na unacho ongea ila nlitaka kukujulisha nguvu za giza zipo ambayo ni sayansi pia ila haipo kwenye vitabu ulivyo soma weweOk hiyo ni stori YAKO binafsi ILI ku justify stori yako.
Halafu mimi nilikuwa nazungumzia hallucinations na entoptic phenomena, wewe umeleta stori za kufikirika sijajua point yako ilikuwa ni nini.
Hauna unalo lijua bora ukae kimya, kwanza sija mention jina la mtu hao kina Diamond umewaleta mwenyewe pili kila mafanikio yana miiko yake na njia zake alikwambia nani mtu anae pata pesa kwa maagano hafanyi kazi?Kulala nao 24hrs ni maneno yako si yangu.
Nimesema wanafanya kazi kwa juhudi, sidhani kama diamond, hamronize wanalala tu halafu asubuhi wanakuta nyimbo zipo utube zinaenda viral.
sina la nyongeza zaidi ya kukubali kushindwa kwako.
Hio story haina relation na unacho ongea ila nlitaka kukujulisha nguvu za giza zipo ambayo ni sayansi pia ila haipo kwenye vitabu ulivyo soma wewe
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hauna unalo lijua bora ukae kimya, kwanza sija mention jina la mtu hao kina Diamond umewaleta mwenyewe pili kila mafanikio yana miiko yake na njia zake alikwambia nani mtu anae pata pesa kwa maagano hafanyi kazi?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nimekutumia msg PMUnatumia App au web?
Rudi usome between the lines kwenye comment yangu nmesema kivunja nyumba ya yule bibi ikishindikana sababu kila machine walitlleta pale ikakwama sijui kama unazielewa machine nlizo mention point yangu ni kwamba sayansi asilia ipo mimi nmefanya biashara ya uvuvi nmeona mengi kwa sababu hua hamtaki kujifunza hua tuna waacha kama mlivyo!Nadhani mkuu ukufatilia toka mwanzo, nilimjibu jamaa anayesema alikutana na mtu katikati ya barabara akapotea gafla ndo nazungumzia hallucinations.
Bibi kugoma kutoka hiyo si hallucinations, hizo ni stori za kutunga au uelewi hallucinations?
Nguvu za giza ndo nguvu gani hizo?
nmekwambia mafanikio yana siri nyingi moja wapo ni hiyo unayosema sema weweUkishafanya kazi tayari umefata kanuni hivi unalielewa hilo?
Embu elezea kuhusu uchawi unaosema watu wanafanikiwa?
Rudi usome between the lines kwenye comment yangu nmesema kivunja nyumba ya yule bibi ikishindikana sababu kila machine walitlleta pale ikakwama sijui kama unazielewa machine nlizo mention point yangu ni kwamba sayansi asilia ipo mimi nmefanya biashara ya uvuvi nmeona mengi kwa sababu hua hamtaki kujifunza hua tuna waacha kama mlivyo!
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wanaofanya kazi tena kwa bidii ni wengi ila sio wote wanapata mafanikio sawa sawa.Ukishafanya kazi tayari umefata kanuni hivi unalielewa hilo?
Embu elezea kuhusu uchawi unaosema watu wanafanikiwa?
Ulisema hivi mafanikio yana miiko yake na njia zake, hukusema mafanikio yana siri nyingi.nmekwambia mafanikio yana siri nyingi moja wapo ni hiyo unayosema sema wewe
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hao watu unaowazungumzia ni wazungu?It's not real...mbona inawatokea watu wachache na watu wasio na elimu na wenye maisha duni..mbona watu wanazaliwa mpaka kufa na miaka zaidi ya 50 wasione hivi vitu. Au uchawi unachagua wajinga tu
Wanaofanya kazi tena kwa bidii ni wengi ila sio wote wanapata mafanikio sawa sawa.
Point yangu ni kwamba kufanikiwa ni zaidi ya kufuata kanuni kama ingekuwa mafanikio ni kufuata kanuni tu basi tungekuwa na mafanikio wengi zaidi, hivyo tuanzie hapo kwanza kuwa kwenye kufanikiwa kuna zaidi ya kufuata kanuni na juhudi.haswa!!!
Je Hili lina justify kwamba waliofanikiwa zaidi ni kutokana na hizo stori za kufikirika za kichawi?
Hivi wataalam Mshana Jr KWANZA, kwanini kuna watu wengine wanakutana na kuona matukio ya kichawi au viumbe vya kiroho na wengine hawavioni maisha yao yote.
Point yangu ni kwamba kufanikiwa ni zaidi ya kufuata kanuni kama ingekuwa mafanikio ni kufuata kanuni tu basi tungekuwa na mafanikio wengi zaidi, hivyo tuanzie hapo kwanza kuwa kwenye kufanikiwa kuna zaidi ya kufuata kanuni na juhudi.
🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee 🙌🙌🙌Mabati yana kawaida ya kujikunja na kujikunjua kutokana na hali ya hewa joto au baridi... Ni kawaida kusikia sauti.
Then milango yetu hii ya kuunga unga hasa mageti vitasa vyake kujifunga ni kawaida sana ukibamiza...
Tena kama we ulitoka kasi ukauacha ujipige.. hakuna uchawi hapo.
Tufanye kazi
Wana CCM aisee. Kwa mitazamo na akili zile halafu na bado wanaongoza nchi na kutusua kimaisha???? Aisee uchawi upo!Uchawi upo ndugu zangu.
Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga.
mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona.
Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani inasikitisha watu wameangaika sana kumtibu lakini wapi ukumuona utamuonea huruma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aisee [emoji119][emoji119][emoji119]