Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Hao uli mention una lala nao 24 hours unajua behind their backs? kama umeamua kukataa hata nikitaja utaleta ubishi tufanye umeshinda

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
🤣Mi naweza sema we ni shoga bila kuishi na wewe, ni assumption tu...Sina evidence Kama wewe huna evidence ya kusema ni mchawi zaidi ya hisia zako za ujinga na wivu
 
Tuambie ulichoona, na tupo evidence pia sio hallucinations zako za usiku na kuchoka ..
 
Point yangu ni kwamba kufanikiwa ni zaidi ya kufuata kanuni kama ingekuwa mafanikio ni kufuata kanuni tu basi tungekuwa na mafanikio wengi zaidi, hivyo tuanzie hapo kwanza kuwa kwenye kufanikiwa kuna zaidi ya kufuata kanuni na juhudi.
Sawa so solution sio uchawi ..hii ni argument from ignorance. Kitu hukielewi so jibu lake ni uchawi. Ndo tofauti, wenzetu wanatafuta majibu ya maswali we unahangaika kuwaza mauchawi ndo maana hatuendelei
 
Haina ukweli sisi tumeishi mitaa hiyo hiyo...ukiwa na akili timamu ya kujua wat is real and fake huwezi amini uchawi...ni ignorance tu ya watu
 
Ukiamua kuwa mbishi hata uambiwe nini huwezi kukubali tembea uone dunia ina mengi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
🤣Mbona unaone mwenyewe na wajinga wenzako au una dunia yako. Water is real, hatuwezi kubishana water is real or fake coz kila mtu mwenye macho anaona maji, same as fire same as trees etc 🤣kitu ambacho mtu mmoja mmoja anakiona hizo ni hallucinations ndo maana tukilala hatuna ndoto sawa. Mwingine ataota uchawi mwingine ataota utajiri hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…