Hivi wataalam
Mshana Jr KWANZA, kwanini kuna watu wengine wanakutana na kuona matukio ya kichawi au viumbe vya kiroho na wengine hawavioni maisha yao yote.
Kuna Sayansi gani hapo?
Kuna concept nilisoma kwamba hivi vitu lazima uvialike kwenye maisha yako(kwa mfano kwenda kwa mganga au kufanyiwa dawa zq wale maustadh wa dawa) , au mtu mwenye mamlaka na wewe avi introduce kwenye maisha yako(kama mzazi kumchanja chale au kumfanyia mtoto wake dawa alipokuwa mdogo au kumpeleka kwa mganga na kwenye matambiko, au mke kukufanyia dawa)
JE HII CONCEPT INA UKWELI WOWOTE?