Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Hao uli mention una lala nao 24 hours unajua behind their backs? kama umeamua kukataa hata nikitaja utaleta ubishi tufanye umeshinda

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
🤣Mi naweza sema we ni shoga bila kuishi na wewe, ni assumption tu...Sina evidence Kama wewe huna evidence ya kusema ni mchawi zaidi ya hisia zako za ujinga na wivu
 
Rudi usome between the lines kwenye comment yangu nmesema kivunja nyumba ya yule bibi ikishindikana sababu kila machine walitlleta pale ikakwama sijui kama unazielewa machine nlizo mention point yangu ni kwamba sayansi asilia ipo mimi nmefanya biashara ya uvuvi nmeona mengi kwa sababu hua hamtaki kujifunza hua tuna waacha kama mlivyo!

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tuambie ulichoona, na tupo evidence pia sio hallucinations zako za usiku na kuchoka ..
 
Point yangu ni kwamba kufanikiwa ni zaidi ya kufuata kanuni kama ingekuwa mafanikio ni kufuata kanuni tu basi tungekuwa na mafanikio wengi zaidi, hivyo tuanzie hapo kwanza kuwa kwenye kufanikiwa kuna zaidi ya kufuata kanuni na juhudi.
Sawa so solution sio uchawi ..hii ni argument from ignorance. Kitu hukielewi so jibu lake ni uchawi. Ndo tofauti, wenzetu wanatafuta majibu ya maswali we unahangaika kuwaza mauchawi ndo maana hatuendelei
 
Hivi wataalam Mshana Jr KWANZA, kwanini kuna watu wengine wanakutana na kuona matukio ya kichawi au viumbe vya kiroho na wengine hawavioni maisha yao yote.
Kuna Sayansi gani hapo?

Kuna concept nilisoma kwamba hivi vitu lazima uvialike kwenye maisha yako(kwa mfano kwenda kwa mganga au kufanyiwa dawa zq wale maustadh wa dawa) , au mtu mwenye mamlaka na wewe avi introduce kwenye maisha yako(kama mzazi kumchanja chale au kumfanyia mtoto wake dawa alipokuwa mdogo au kumpeleka kwa mganga na kwenye matambiko, au mke kukufanyia dawa)
JE HII CONCEPT INA UKWELI WOWOTE?
Haina ukweli sisi tumeishi mitaa hiyo hiyo...ukiwa na akili timamu ya kujua wat is real and fake huwezi amini uchawi...ni ignorance tu ya watu
 
Ukiamua kuwa mbishi hata uambiwe nini huwezi kukubali tembea uone dunia ina mengi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
🤣Mbona unaone mwenyewe na wajinga wenzako au una dunia yako. Water is real, hatuwezi kubishana water is real or fake coz kila mtu mwenye macho anaona maji, same as fire same as trees etc 🤣kitu ambacho mtu mmoja mmoja anakiona hizo ni hallucinations ndo maana tukilala hatuna ndoto sawa. Mwingine ataota uchawi mwingine ataota utajiri hivyo
 
Back
Top Bottom