Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kiboko ya wachawi ni nguvu ya Mungu tu iliyopo ndani ya damu ya Yesu.........washauri ndugu zake wampeleke kwenye kanisa lolote akaombewe apokee uponyaji.
Wachungaji wenu na mashehe bila Uchawi hawawezi hata kufunga kamba za viatu vyao. Ni ninyi kondoo tu ndio mnarubuniwa kuwa ni nguvu ya mungu.
 

Uchawi ni nini? sayansi ni nini?
elezea uchawi unakamata vipi mwizi? Au uchawi unatibu vipi mafua?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mauza uza yapoo aiseee.. Hallucination its not common kwa watu ambao hawana mental problem issues yani ni uongooo.. Unakua umeona kitu really kabisaa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wew jamaa inaonekana umesoma ilaa tatizo Hujaelimikaa yanii...!!
 
Uchawi ni nini? sayansi ni nini?
elezea uchawi unakamata vipi mwizi? Au uchawi unatibu vipi mafua?
Ni nguvu na Kanuni zilizoshindwa kuthibitishwa na Sayansi ya Darasani. Ni Sayansi beyond hii ya makaratasi.

Hivyo ukitaka kujua INAFANYAJE HIVI AMA VILE kwa vigezo vya Sayansi ya Darasani, kamwe hutapata majibu. Ila jamii inashuhudia matendo makuu yake, kama unavyoona humu.
 
Hujui kitu matrix wameshika kichwa chako. Jikomboe
 
Uchawi upo lakn sio tunavyo elezea.Uchawi kutumia maarifa yasiyo ya kisanyansi ,kwa lengo kutoa msaada, ila unazuru bila kujua. Uchawi ni ukosefu elimu ya sanyansi. Mtu huwezi kupaa na upo,uongo physics inakataa
Uchawi ni sayansi
 
Waliofanikiwa kwa uchawi wapo.
Ref.Mwakipande
 
Ufahamu wako bado finyu saana.
 
Wachungaji wenu na mashehe bila Uchawi hawawezi hata kufunga kamba za viatu vyao. Ni ninyi kondoo tu ndio mnarubuniwa kuwa ni nguvu ya mungu.
Wewe ukiwa mchawi inatosha, sio wote wachawi kama wewe.
 
Ni
Ukweli halisi hakuna uchawi..hiki kitu au dhana inayo itwa uchawi haipo
Ni Ukweli pia. Maana Uchawi ni jina baya lililotolewa na wale waliofeli kutambua Nguvu na Kanuni zilizokinyume na wakiitacho Sayansi.
Ni sawa sungura kuita matendo ya ngedere juu ya mti ni Ubaya, kwa vile yeye hajui inawezekanaje.
 
Na haiwezekani kila MTU kuwa mchawi hakika. Ndio maana hao wachache wanatumia kupiga pesa...
Uchawi upo na njia sahihi ya kuushinda ni nguvu ya Mungu tu tena kupitia hao hao viongozi wa dini.
 
Ni
Ni Ukweli pia. Maana Uchawi ni jina baya lililotolewa na wale waliofeli kutambua Nguvu na Kanuni zilizokinyume na wakiitacho Sayansi.
Ni sawa sungura kuita matendo ya ngedere juu ya mti ni Ubaya, kwa vile yeye hajui inawezekanaje.
Uchawi ni kitendo cha kutumia nguvu za giza kwa nia ovu ya kumdhuru mtu/watu.

Ushirikina ni uovu
 
Uchawi upo na njia sahihi ya kuushinda ni nguvu ya Mungu tu tena kupitia hao hao viongozi wa dini.
IPI ni njia sahihi ya kushindana na Nguvu ya Mungu nayo?
Nguvu ni Nguvu tu, hakuna ya Mungu wala ya yule. Mnapodai kuwa Kuna Nguvu mbali na ile ya Mungu wenu, inaonesha wazi mlivyokosa imani na Mungu wenu, na kwa hakika mnakufuru.

Hakuna Nguvu Ila Moja tu.
 
Nguvu ya Mungu ipo kwa ajili ya kuokoa, kuponya na kutoa ulinzi dhidi ya uchawi na madhara ya uchawi.

Nyie wachawi ndio mnajaribu kupotosha watu hakuna uchawi ili muendelee kuwadhuru.
 
Uchawi ni imani'kitu pekee kinacho weza kufanya na uchawi ukaonekana upo ni imani na hiyo nguvu ili ifanye kazi inataka uiamini/uwe na imani nayo uiishi.hao wanao itwa manabii na mitume wanajua vema siri ya uchawi.ngoja nitumie neno hili wamehaki akili za waumini wao hivyo muumini hawezi tena kusikiliza saut ya nje yake huo pia ni uchawi kama unaweza kumfanya mtu mwenye akili timamu utashi akusikilize wewe tu na ukamfanyia mazingayomwe yale ya kushika kichwa akadondoka huo nao ni uchawi mkubwa tu.tofaut hapo ni 2 wewe unafanya uchwi kutumia neno la mungu wakati wengine upande wa pili.uchawi ni imani halisi haupo uchawi hutenda kazi kwa kadri nguvu yako ubongo inavyo fikiri lakini wenyewe kutu chenye maana.na jua sio rahisi sana kuelewa ila nikuhakikishie ukitaka kujifunza kuhusu nguvu hiyo 0756805540.uchawi ni upuuzi labda tu kinacho weza kukutisha ni neno lenyewe (uchawi)na si uchawi wenyewe...mwisho tu ni kwambie kama uliwahi kwenda kwa mganga kugangua ulipigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…