Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kiboko ya wachawi ni nguvu ya Mungu tu iliyopo ndani ya damu ya Yesu.........washauri ndugu zake wampeleke kwenye kanisa lolote akaombewe apokee uponyaji.
Wachungaji wenu na mashehe bila Uchawi hawawezi hata kufunga kamba za viatu vyao. Ni ninyi kondoo tu ndio mnarubuniwa kuwa ni nguvu ya mungu.
 
Tambua kuwa Uchawi ni Sayansi, una Kanuni beyond hii sayansi iliyoshindwa hata kutibu mafua au kumkamata mwizi mahakamani.
Huwezi kutumia kanuni za Sayansi hii ya darasani kuthibitisha Sayansi ya Uchawi, maana imejengwa kupotasha Sayansi Ukweli na kujaribu kutoa dhana za uongouongo juu yake.

Uchawi ni nini? sayansi ni nini?
elezea uchawi unakamata vipi mwizi? Au uchawi unatibu vipi mafua?
 
Miaka fulani nikiwa chuo nilienda field kijiji fulani huko Dodoma. Sehemu niliyokuwa nafanya field ilikuwa nje kidogo na sehemu yalipo maduka. Sasa siku moja nilikuwa napita njiani nikasikia watu wanaambiana "huyu kijana anapitaje hiyo njia usiku huu". Sikuelewa sababu ya wao kutokupita ile njia usiku

Sasa siku moja tukiwa watatu na jamaa zangu ninaofanya nao field, mida ya saa moja jioni kigiza giza ndio kinaingia. Tunawa tunavuka kuna sehemu kulikuwa na mto kwenye hiyo njia ila hauna maji. Sasa kwa mbele tukaomuona mzee mmoja aliyeonekana umri umeenda sana anatembea polepole kwenye ukingo wa pili wa mto, tulitegemea tukija kuibuka tutampita. Lakini tulipokuja kutokea hatukuona chochote.

Mwanzoni nilidhani nimeona peke yangu nikakaa kimya. Baadae tukiwa tumeshafika yule mshikaji nae akaniuliza kama niliona lile tukio. Mshikaji wetu mmoja yeye hakuona alikuwa yuko bizzy kuchati na simu muda tukio linatokea.

Tulishangaa sana maana ile sehemu haikuwa na mti wala kichaka cha kujificha ni eneo plain tu. Na ilikuwa ni kitendo cha sekunde chache sana, yule mtu kutokomea kabisa asionekane, hata ingekuwa gari ni lazima tungeikuta.

Sasa uniambie ilikuwa ni hallucination uone kama sijakuzabua makofi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mauza uza yapoo aiseee.. Hallucination its not common kwa watu ambao hawana mental problem issues yani ni uongooo.. Unakua umeona kitu really kabisaa.
 
[emoji28][emoji1787] Nimekuambiaje Portugal in Fatima watu 3000 waliona jua linacheza cheza, linatoa colours tofauti, niambie Sasa jua lilicheza kwa hao watu 3000 tu dunia nzima tusione au wao 3000 Wana hallucinations. Mazingira na maandalizi kabla ya hio scenario Ina affect ur brain. We na rafiki yako mnaweza mkawa mmeona kitu Cha ajabu. Lakini mkiulizwa independently kuhusu Hilo jambo it's highly likely mtaelezea tofauti kidogo hamuwezi kuwa sawa katika kukielezea. Hizi accounts zipo kwenye story za wachawi, kila mtu huwa na vision yake tofauti kidogo. Which shows it's just brain. Hamna jipya hapo..ndo maana nakuambia elimu na tafiti ni muhimu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wew jamaa inaonekana umesoma ilaa tatizo Hujaelimikaa yanii...!!
 
Uchawi ni nini? sayansi ni nini?
elezea uchawi unakamata vipi mwizi? Au uchawi unatibu vipi mafua?
Ni nguvu na Kanuni zilizoshindwa kuthibitishwa na Sayansi ya Darasani. Ni Sayansi beyond hii ya makaratasi.

Hivyo ukitaka kujua INAFANYAJE HIVI AMA VILE kwa vigezo vya Sayansi ya Darasani, kamwe hutapata majibu. Ila jamii inashuhudia matendo makuu yake, kama unavyoona humu.
 
Hapana mkuu sijatazama hapo tu.

Ungemalizia na huko chini kabisa, unaweza kuwa ecstatic na BADO hali hii ya hallucinations ikakupata.

Mimi binafsi huwa sina shida na imani za watu ILA kwenye swala la kuthibisha ndo huwa kuna matatizo. Naheshimu imani YAKO.
Hujui kitu matrix wameshika kichwa chako. Jikomboe
 
Uchawi upo lakn sio tunavyo elezea.Uchawi kutumia maarifa yasiyo ya kisanyansi ,kwa lengo kutoa msaada, ila unazuru bila kujua. Uchawi ni ukosefu elimu ya sanyansi. Mtu huwezi kupaa na upo,uongo physics inakataa
Uchawi ni sayansi
 
Kwani unaamua ku reduce message yangu.
sikusema mafanikio yanahitaji commitment discipline and consistency kitu ambacho wengi hatupo radhi kufanya.
Most of us we can't embrace disruption I bet even you.

Yaani mpaka sasa hujathibitisha mtu aliyefanikiwa kwa uchawi ILA mimi nimekuonyesha mifano kibao.

Ukishafanya kazi hapo si uchawi tena kuna bidhaa ambayo inanunulika na watu.
au kama upo kazini kuna skills ambayo inahitajika hiyo sehemu na wewe unayo.
Mbona hivi vitu ni simple kuelewa

Embu ni convince kuna mtu kafanikiwa kwa uchawi ambaye sote tunamfahamu?

Au wewe unazungumzia luck? Na umesoma The richest man in babylon inasema nini kuhusu luck?

Usihangaike kunielewesha nahitaji uthibitisho wa mtu kafanikiwa sababu ya uchawi wake na si kufanya KAZI?
Waliofanikiwa kwa uchawi wapo.
Ref.Mwakipande
 
🤣🤣🤣🤣Mi nakuelimisha we mjinga. Mi Sina shida coz naishi kwa amini nikijua kila kitu ni naturally observable na explainable. Nakuonea huruma wewe kwa sababu despite all the technology science na education in the world which clearly states kwamba hivi vitu ni clear myths na not real. Bado unakazana kuamini why, coz hutaki kupingana na dini zako na utamaduni wako. It's not bad ila kwenye ukweli kubali. Mababu zetu hawakujua dunia inazunguka jua, hawakujua dunia ni duara haimaanishi tuishi na Imani zao, coz hawakuwa na elimu tu. Same as hayo mauchawi
Ufahamu wako bado finyu saana.
 
Wachungaji wenu na mashehe bila Uchawi hawawezi hata kufunga kamba za viatu vyao. Ni ninyi kondoo tu ndio mnarubuniwa kuwa ni nguvu ya mungu.
Wewe ukiwa mchawi inatosha, sio wote wachawi kama wewe.
 
Ni
Ukweli halisi hakuna uchawi..hiki kitu au dhana inayo itwa uchawi haipo
Ni Ukweli pia. Maana Uchawi ni jina baya lililotolewa na wale waliofeli kutambua Nguvu na Kanuni zilizokinyume na wakiitacho Sayansi.
Ni sawa sungura kuita matendo ya ngedere juu ya mti ni Ubaya, kwa vile yeye hajui inawezekanaje.
 
Na haiwezekani kila MTU kuwa mchawi hakika. Ndio maana hao wachache wanatumia kupiga pesa...
Uchawi upo na njia sahihi ya kuushinda ni nguvu ya Mungu tu tena kupitia hao hao viongozi wa dini.
 
Ni
Ni Ukweli pia. Maana Uchawi ni jina baya lililotolewa na wale waliofeli kutambua Nguvu na Kanuni zilizokinyume na wakiitacho Sayansi.
Ni sawa sungura kuita matendo ya ngedere juu ya mti ni Ubaya, kwa vile yeye hajui inawezekanaje.
Uchawi ni kitendo cha kutumia nguvu za giza kwa nia ovu ya kumdhuru mtu/watu.

Ushirikina ni uovu
 
Uchawi upo na njia sahihi ya kuushinda ni nguvu ya Mungu tu tena kupitia hao hao viongozi wa dini.
IPI ni njia sahihi ya kushindana na Nguvu ya Mungu nayo?
Nguvu ni Nguvu tu, hakuna ya Mungu wala ya yule. Mnapodai kuwa Kuna Nguvu mbali na ile ya Mungu wenu, inaonesha wazi mlivyokosa imani na Mungu wenu, na kwa hakika mnakufuru.

Hakuna Nguvu Ila Moja tu.
 
IPI ni njia sahihi ya kushindana na Nguvu ya Mungu nayo?
Nguvu ni Nguvu tu, hakuna ya Mungu wala ya yule. Mnapodai kuwa Kuna Nguvu mbali na ile ya Mungu wenu, inaonesha wazi mlivyokosa imani na Mungu wenu, na kwa hakika mnakufuru.

Hakuna Nguvu Ila Moja tu.
Nguvu ya Mungu ipo kwa ajili ya kuokoa, kuponya na kutoa ulinzi dhidi ya uchawi na madhara ya uchawi.

Nyie wachawi ndio mnajaribu kupotosha watu hakuna uchawi ili muendelee kuwadhuru.
 
Uchawi ni imani'kitu pekee kinacho weza kufanya na uchawi ukaonekana upo ni imani na hiyo nguvu ili ifanye kazi inataka uiamini/uwe na imani nayo uiishi.hao wanao itwa manabii na mitume wanajua vema siri ya uchawi.ngoja nitumie neno hili wamehaki akili za waumini wao hivyo muumini hawezi tena kusikiliza saut ya nje yake huo pia ni uchawi kama unaweza kumfanya mtu mwenye akili timamu utashi akusikilize wewe tu na ukamfanyia mazingayomwe yale ya kushika kichwa akadondoka huo nao ni uchawi mkubwa tu.tofaut hapo ni 2 wewe unafanya uchwi kutumia neno la mungu wakati wengine upande wa pili.uchawi ni imani halisi haupo uchawi hutenda kazi kwa kadri nguvu yako ubongo inavyo fikiri lakini wenyewe kutu chenye maana.na jua sio rahisi sana kuelewa ila nikuhakikishie ukitaka kujifunza kuhusu nguvu hiyo 0756805540.uchawi ni upuuzi labda tu kinacho weza kukutisha ni neno lenyewe (uchawi)na si uchawi wenyewe...mwisho tu ni kwambie kama uliwahi kwenda kwa mganga kugangua ulipigwa.
 
Back
Top Bottom