Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?


Nitakupa jina la ujinga au kama stori ya poyoyo wa mliyayoyo.
 
Sisemi lingine zaidi ya kukubali kushindwa kwako siku njema.
Wewe ni mjinga na mjinga si tusi ni sifa.
Hakuna asiye mjinga maana hakuna anayejua kila kitu, hata hapa jamiiforums tumejifunza mengi na kupunguza ujinga na uzuri mimi ni mtu ambaye napenda kujifunza ila nasikitika hakuna nilichojifunza kutoka kwenu zaidi ya kuelimisha ili niondoe huo ujinga ila unaishia kuniona mjinga kisa tu tunatofautiana mitazamo.
 
Nitakupa jina la ujinga au kama stori ya poyoyo wa mliyayoyo.
Jamiiforums ipo pia kwa ajiri ya kuelimishana na kutoana ujinga, sasa kama umeshindwa kunielimisha huo ujinga wangu kuendelea kuniita mjinga haitosaidia lolote.
 
Okay...unaweza thibitisha hiyo...kwamba ukichanganya na hela zako inapotea. Au ni kwamba tu ni kisingizio Cha kupoteza hela. Fanya independent investigation kwenye maduka mawili.. moja aende huyo chuma ulete bila kujulikana na mwingine abaki hivyo hivyo afu unipe matokeo .. otherwise ni story tu. .
 
1. Pope kafanyaje?
2. Huyu mdada ni tricks za magic Kama nyingine tu...jifunze code zao utaelewa video zipo kibao YouTube Kuna Hadi vipindi vya breaking the magician code...vinaelezea mazingaombwe Yanavyofanywa hata we ukijifunza unafanya ni akili tu
3. Halloween ni tradition, ni kama Christmas..kule wenzetu Christmas wanaita happy holidays na ni sikukuu coz of tradition.. Halloween kwao si kwamba wanalogana na kufanya uchawi...no wanahave fun kuvaa nguo za kichawi na kutembeleana ni sikukuu tu haina uchawi.
Bado hujaprove kwamba jamii za wazungu zinaamini uchawi.
 
Nimetuma video ya yule dada na naweza kutuma nyingi zaidi ila hujaniambia kitu gani kinakufanya uone yale ni maigizo

Tuanzie hapa
Ni magic tricks elewa bac mbona nakujibu Mara ishirini...tafuta vipindi vya breaking the magician code utaelewa. Sasa unaishia kumuita mchawi Ile ni talent Kama talent zengine lyk dancing etc...mbona Kuna watu hawawezi kuchezi mpira Kama Messi au kudance Kama Michael Jackson ila kwani Messi na Jackson ni wachawi, no
Huna hoja ya msingi
 
🤣We bana acha wivu wa maendeleo...Kama uchawi unaleta maendeleo we fanya bac uchawi...uendelee
 
1. Hiyo story ya bibi sijui mifupa naomba independent source of information sio story za mtaani... nipe news source clear yenye habari hii
2. 🤣We mwenyewe umeprove kwamba ulikuwa una hallucinate coz umeona sijui Nini umekigonga ila hamna mkwaruzo..Sasa mtu akikuita chizi au umechoka barabarani atakuwa na kosa. Ndo maana mnaambiwa msiendeshe mmechoka. Nishakuambia Portugal watu 3000 waliona jua linatikisika...nyie familia yenu kwenye gari moja hamnishtui.. hallucinations zinaweza kukuta watu wengi so hamna jipya hapo
3. 🤣Uchawi haupo no matter how much utanitisha...nimetishwa Sana tu...we Baki na uoga na ujinga wako usinihusishe mimi
 
We leta story yako...nimeambiwa story nyingi za my friends Sasa ni mambo personal...leta experience yako ya uchawi yenye verifiable evidence...mbona watu mpaka wanafanya mapenzi wanarecord Kuna video za ajali mbona hata iweje mtaani hamna video za uchawi...ndo ujue ni akili yako tu na wajinga wenzako ndo zinaona...uje na experience inayothibitika kua uchawi upo ndo nitakuamini..so far ni sawa na kumwambia mtu mzima usivae nyekundu utapigwa na radi..🤣Ndo navyokuona
 
Sasa kwanini unatushangaa sisi tuliowahi kupita kwenye mikono hiyo, na kwanini sisi tusikushangae wewe ambaye hujawahi kupitia visa vyao!?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
🤣Nawashangaa coz ni uwongo. Kwa Nini wewe na wajinga wenzako ndo muone vitu...au uchawi unachagua wajinga na maskini.. watu wa kijijini wasio na camera, elimu na fikra za kiuchumi na kisayansi. 🤣Au uchawi unajificha
 
Ndiyo maana nikakwambia wewe ni brainwashed
 
[emoji1787]We bana acha wivu wa maendeleo...Kama uchawi unaleta maendeleo we fanya bac uchawi...uendelee
Hakuna cha wivu wa maendeleo hapa nilipo hiyo stage nishaipita nafanya nachojua return yake sio kubahatisha. Yes unaleta maendeleo ila ni wachache wanaopenda shortcuts ndo wanaweza kufanya hayo mambo

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787]Nawashangaa coz ni uwongo. Kwa Nini wewe na wajinga wenzako ndo muone vitu...au uchawi unachagua wajinga na maskini.. watu wa kijijini wasio na camera, elimu na fikra za kiuchumi na kisayansi. [emoji1787]Au uchawi unajificha

Yes unajificha ndio mana inaitwa dark art. Na kwanini wewe na wenzako tu ndio msione au ni Kwa sababu chizi huwa harogwi.[emoji89]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba unatarajia nitakuthibitishia humu Jf kwa maneno? Nimekupa Fursa ya kushuhudia Matendo Makuu ya mnachokiita Uchawi. Wajibu ni wako sasa.

Hao wanaohangaika hospital miezi na miezi ni Vipofu na kondoo wa aidha Sayansi yako au dini yako, wakiamini Tiba Asilia ni Uchawi, na Uchawi ni Ushirikina au ni Kupitwa na Wakati.

Mtateseka sana, na Mteseke tu, maana hata mkipona hamuachi kuwa na kasoro.

Ujuzi Asilia (Uchawi) upo, na wenye nao ni wa kuheshimiwa sana. Lakini pia wapo watumiao vibaya kwa maslahi yao na wapo matapeli pia. Ni sawa atumiae bunduki kujilinda na mwingine kuibia. Bunduki ni Bunduki tu, ubaya ni matumizi yako.
 
Kama umekiri lipo kundi la wazungu wanaoamini uchawi na Afrika pia lipo kundi linaloamini uchawi

Nawewe ulisema wazungu hawaamini uchawi sisi wa Africa ndo tunaamini

HAPA TUKUELEWAJE???
Hawa ni kondoo walionona mafuta ya upako au uongo wa Maabara.
 
🤣 Mwanasayansi gani mwenye hadhi duniani anaamini uchawi. Mtaje na uje na credible quotations zake. Acha bifu na wanasayansi, wametengeneza Simu unaongea upuuzi humu. Waambie bibi na Babu yako watumie uchawi kuunda Simu...
Uwe unasoma vizuri ndio unajibu. Ni wapi nimesema wanasayansi wameamini Uchawi? Kwa mwanasansi Uchawi ni kitu ambacho HAKIPO.
Lakini ni Ukweli kuwa maarifa yao yalipoishia, kila kinachoendelea mbele wanadai HAKIPO ni Uchawi, Kiini Macho.

Ni kwa sababu Sayansi yenu haijui uwezekano wa MTU kuingia ndani ya nyumba kupitia kuta, inadai HAIWEZEKANI. Na hata anapooneshwa huo huwezekano atadai ni Kiini Macho.

Mtabaki na utumwa wenu, Ila Ukweli ni kuwa Inapoishia Sayansi ya Darasani, mnachokiita Uchawi ndio kinaanzia.

Hakuna Uchawi na bado unafikiri kuna Mungu na Shetani, mnafurahisha sana wandugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…