Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Tatizo ummekariri hilo neno "uthibitisho" na wote mpo hivyo mnalitumia kama kichaka chenu, ulipoleta story yako ya hao majirani zako mapolisi wala sikukwambia uthibitishe kwa sababu ni vitu ambavyo kweli vipo ila nyie sasa kila kitu watakachoeleza wenzenu mnajidai kudai uthibitisho.

Sijui ni vp wewe uone kuwa naweza kukuthibitishia hicho unachotaka nikuthibitishie kupitia humu JF.

Nitakupa jina la ujinga au kama stori ya poyoyo wa mliyayoyo.
 
Sisemi lingine zaidi ya kukubali kushindwa kwako siku njema.
Wewe ni mjinga na mjinga si tusi ni sifa.
Hakuna asiye mjinga maana hakuna anayejua kila kitu, hata hapa jamiiforums tumejifunza mengi na kupunguza ujinga na uzuri mimi ni mtu ambaye napenda kujifunza ila nasikitika hakuna nilichojifunza kutoka kwenu zaidi ya kuelimisha ili niondoe huo ujinga ila unaishia kuniona mjinga kisa tu tunatofautiana mitazamo.
 
Nitakupa jina la ujinga au kama stori ya poyoyo wa mliyayoyo.
Jamiiforums ipo pia kwa ajiri ya kuelimishana na kutoana ujinga, sasa kama umeshindwa kunielimisha huo ujinga wangu kuendelea kuniita mjinga haitosaidia lolote.
 
Chuma ulete inajulikana ni wizi wa aina gani ambao unahusishwa na uchawi, mfano wa chuma ulete ni kitendo cha mtu kuja dukani kwako na kununua bidhaa sasa ile pesa aliyokupa ukiichanganya na hizo pesa zako zengine basi sehemu ya kiasi cha hizo pesa zako hupotea kimazingara.

Hiyo ni aina moja wapo ya chuma ulete kama inavyoaminika.
Okay...unaweza thibitisha hiyo...kwamba ukichanganya na hela zako inapotea. Au ni kwamba tu ni kisingizio Cha kupoteza hela. Fanya independent investigation kwenye maduka mawili.. moja aende huyo chuma ulete bila kujulikana na mwingine abaki hivyo hivyo afu unipe matokeo .. otherwise ni story tu. .
 
Unaposema jamii zao zimetoka kwenye hizo dhana

Huyo pope amefariki 2016 na bado kuna warithi wake

Nimetuma link ya AGT mdada akifanya uchawi jukwaani

Wenzetu wana mpaka sherehe ya Halloween

Unaposema jamii yao imetoka kwenye hizo dhana unatumia vigezo gani?
1. Pope kafanyaje?
2. Huyu mdada ni tricks za magic Kama nyingine tu...jifunze code zao utaelewa video zipo kibao YouTube Kuna Hadi vipindi vya breaking the magician code...vinaelezea mazingaombwe Yanavyofanywa hata we ukijifunza unafanya ni akili tu
3. Halloween ni tradition, ni kama Christmas..kule wenzetu Christmas wanaita happy holidays na ni sikukuu coz of tradition.. Halloween kwao si kwamba wanalogana na kufanya uchawi...no wanahave fun kuvaa nguo za kichawi na kutembeleana ni sikukuu tu haina uchawi.
Bado hujaprove kwamba jamii za wazungu zinaamini uchawi.
 
Nimetuma video ya yule dada na naweza kutuma nyingi zaidi ila hujaniambia kitu gani kinakufanya uone yale ni maigizo

Tuanzie hapa
Ni magic tricks elewa bac mbona nakujibu Mara ishirini...tafuta vipindi vya breaking the magician code utaelewa. Sasa unaishia kumuita mchawi Ile ni talent Kama talent zengine lyk dancing etc...mbona Kuna watu hawawezi kuchezi mpira Kama Messi au kudance Kama Michael Jackson ila kwani Messi na Jackson ni wachawi, no
Huna hoja ya msingi
 
Sijui umeandika nini hapa, comment yangu uliielewa kwanza ama ulikimbilia tu kuniita mjinga? We unadhani bado watu wapo kwenye kulima kizamani siku hizi!? Aisee tembea uone hutaamini macho Yako.
Hata nikikuuliza tech gani ya kilimo unayoongelea na quality factors sijui kama utaongea kitu kipya ambacho huku hatufanyi. Come again

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
🤣We bana acha wivu wa maendeleo...Kama uchawi unaleta maendeleo we fanya bac uchawi...uendelee
 
Ndugu endelea kumuomba sana Mungu wako yasikukute,uchawi ni halisia na upo kabisa,kuna mdau kaongelea swala la matibabu yakuvunjika mfupa,mimi nimeshuhufia bukoba huko,jamaa alivunjika nyonga,amekaa hospitali miaka mi 3,kaoelekwa kwa huyo bibi,wiki mbili tu kawa sawa, tena hata jeraha halijaguswa,kingine mimi mwenyewe nimeshuhudia usiku natoka babati nakwenda singida,ktk ya barabara nikashuhudi fisi mkubwa kama tembo yaani tena amejaa barabara nzima na mvua inapiga,kwemye gari nimebeba familia nzima,siku simama nikapita naye,gari ilitikisika tu na kishindo kiasi,nimefika singida naangalia bonet hakuna hata mkwaruzo,chaajabu wife na mdogowake waliliona hilo fisi,sasa je utasema tulikuwa na mawazo woote???
1. Hiyo story ya bibi sijui mifupa naomba independent source of information sio story za mtaani... nipe news source clear yenye habari hii
2. 🤣We mwenyewe umeprove kwamba ulikuwa una hallucinate coz umeona sijui Nini umekigonga ila hamna mkwaruzo..Sasa mtu akikuita chizi au umechoka barabarani atakuwa na kosa. Ndo maana mnaambiwa msiendeshe mmechoka. Nishakuambia Portugal watu 3000 waliona jua linatikisika...nyie familia yenu kwenye gari moja hamnishtui.. hallucinations zinaweza kukuta watu wengi so hamna jipya hapo
3. 🤣Uchawi haupo no matter how much utanitisha...nimetishwa Sana tu...we Baki na uoga na ujinga wako usinihusishe mimi
 
Yani katika vitu vingi ulivyofuatilia umeeleza kimoja tu cha sleep paralaysis basi ila unatumia muda mwingi kudai uthibitisho na kusema ni hallucinations tu, kwanini usitumie nafasi hii kueleza zaidi hayo uliyoyafuatilia na ukayatolea maelezo ni kwa vp si uchawi kama wanavyoamini?
We leta story yako...nimeambiwa story nyingi za my friends Sasa ni mambo personal...leta experience yako ya uchawi yenye verifiable evidence...mbona watu mpaka wanafanya mapenzi wanarecord Kuna video za ajali mbona hata iweje mtaani hamna video za uchawi...ndo ujue ni akili yako tu na wajinga wenzako ndo zinaona...uje na experience inayothibitika kua uchawi upo ndo nitakuamini..so far ni sawa na kumwambia mtu mzima usivae nyekundu utapigwa na radi..🤣Ndo navyokuona
 
Sasa kwanini unatushangaa sisi tuliowahi kupita kwenye mikono hiyo, na kwanini sisi tusikushangae wewe ambaye hujawahi kupitia visa vyao!?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
🤣Nawashangaa coz ni uwongo. Kwa Nini wewe na wajinga wenzako ndo muone vitu...au uchawi unachagua wajinga na maskini.. watu wa kijijini wasio na camera, elimu na fikra za kiuchumi na kisayansi. 🤣Au uchawi unajificha
 
Sawa Ila haupo Sasa....,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimekuambia jamii nyingi za kizungu haziamini uchawi na zinaishi kwa scientific principles. We umeangalia movie za horror unasema wanaamini zile ni entertainment tu Kama sisi tunavyotengeneza eonii. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]We na wajinga wenzako ambao hawana elimu ya Sayansi na jamii ndo mnaamini uchawi. Watu tumeelimika hatuwezi amini vitu ambavyo havipo. Kama uchawi upo...tuonyesheni...Mara mtuambie tukue wakubwa, tukue mpaka lini, Mara mtuambie twende sijui wapi, kwani unachagua sehemu.. [emoji1787]Mbona dar hatusikii uchawi au kisa watu Wana elimu, hela na camera ndo maana unawakimbia unaenda kigoma ..vitu vingine jiongeze
Ndiyo maana nikakwambia wewe ni brainwashed
 
[emoji1787]We bana acha wivu wa maendeleo...Kama uchawi unaleta maendeleo we fanya bac uchawi...uendelee
Hakuna cha wivu wa maendeleo hapa nilipo hiyo stage nishaipita nafanya nachojua return yake sio kubahatisha. Yes unaleta maendeleo ila ni wachache wanaopenda shortcuts ndo wanaweza kufanya hayo mambo

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787]Nawashangaa coz ni uwongo. Kwa Nini wewe na wajinga wenzako ndo muone vitu...au uchawi unachagua wajinga na maskini.. watu wa kijijini wasio na camera, elimu na fikra za kiuchumi na kisayansi. [emoji1787]Au uchawi unajificha

Yes unajificha ndio mana inaitwa dark art. Na kwanini wewe na wenzako tu ndio msione au ni Kwa sababu chizi huwa harogwi.[emoji89]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Bado mpaka sasa hujathibitisha unayoyaongea zaidi ya kuendelea kutunga stori.

Huna tofauti na masheikh na wachungaji waongo wakisema wanaweza fanya viwete watembee lakini hospital kumejaa hao viwete, waliovunjika kwanini hawathibitishi kama wanaweza kutibu n mtu aliyevunjika miguu ndani ya siku7?

Huoni bado unaendelea kutunga stori zako?
Kwamba unatarajia nitakuthibitishia humu Jf kwa maneno? Nimekupa Fursa ya kushuhudia Matendo Makuu ya mnachokiita Uchawi. Wajibu ni wako sasa.

Hao wanaohangaika hospital miezi na miezi ni Vipofu na kondoo wa aidha Sayansi yako au dini yako, wakiamini Tiba Asilia ni Uchawi, na Uchawi ni Ushirikina au ni Kupitwa na Wakati.

Mtateseka sana, na Mteseke tu, maana hata mkipona hamuachi kuwa na kasoro.

Ujuzi Asilia (Uchawi) upo, na wenye nao ni wa kuheshimiwa sana. Lakini pia wapo watumiao vibaya kwa maslahi yao na wapo matapeli pia. Ni sawa atumiae bunduki kujilinda na mwingine kuibia. Bunduki ni Bunduki tu, ubaya ni matumizi yako.
 
Kama umekiri lipo kundi la wazungu wanaoamini uchawi na Afrika pia lipo kundi linaloamini uchawi

Nawewe ulisema wazungu hawaamini uchawi sisi wa Africa ndo tunaamini

HAPA TUKUELEWAJE???
Hawa ni kondoo walionona mafuta ya upako au uongo wa Maabara.
 
🤣 Mwanasayansi gani mwenye hadhi duniani anaamini uchawi. Mtaje na uje na credible quotations zake. Acha bifu na wanasayansi, wametengeneza Simu unaongea upuuzi humu. Waambie bibi na Babu yako watumie uchawi kuunda Simu...
Uwe unasoma vizuri ndio unajibu. Ni wapi nimesema wanasayansi wameamini Uchawi? Kwa mwanasansi Uchawi ni kitu ambacho HAKIPO.
Lakini ni Ukweli kuwa maarifa yao yalipoishia, kila kinachoendelea mbele wanadai HAKIPO ni Uchawi, Kiini Macho.

Ni kwa sababu Sayansi yenu haijui uwezekano wa MTU kuingia ndani ya nyumba kupitia kuta, inadai HAIWEZEKANI. Na hata anapooneshwa huo huwezekano atadai ni Kiini Macho.

Mtabaki na utumwa wenu, Ila Ukweli ni kuwa Inapoishia Sayansi ya Darasani, mnachokiita Uchawi ndio kinaanzia.

Hakuna Uchawi na bado unafikiri kuna Mungu na Shetani, mnafurahisha sana wandugu.
 
Back
Top Bottom