passion_Amo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2023
- 378
- 542
Tatizo ummekariri hilo neno "uthibitisho" na wote mpo hivyo mnalitumia kama kichaka chenu, ulipoleta story yako ya hao majirani zako mapolisi wala sikukwambia uthibitishe kwa sababu ni vitu ambavyo kweli vipo ila nyie sasa kila kitu watakachoeleza wenzenu mnajidai kudai uthibitisho.
Sijui ni vp wewe uone kuwa naweza kukuthibitishia hicho unachotaka nikuthibitishie kupitia humu JF.
Nitakupa jina la ujinga au kama stori ya poyoyo wa mliyayoyo.