SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
😁Nasubiria hojaKumuelewesha mtu asiyetaka kuelewa ni mzigo mzito
Ninachat..ninapumua..ninakula..ninalala...that shows my brain is functioning..Rudi form 3 usome functions of the brain na udai ada yako shule[emoji4][emoji106]
🤣🤣🤣🤣Ndo akili...Kama unabisha toa ubongo wako ..au hata huo wa Bata wako..afu tuone Kama we au Bata wako mtaishi. Kila kitu unachofanya ni activities za ubongo ndo maana mtu akipata matatizo au jeraha la kichwa...anapata matatizo ya akili...🤣Ila we huwezi elewa coz hujasoma na Kama umesoma kadai ada yako tu..huna elimu ya neurologyHapa hujathibitisha una akili ila umetaja characteristics tu za kiumbe hai, hayo uliyotaja hata bata anayo. Mwenye utindio wa ubongo anafanya yote hayo. Thibitisha una akili jombaa
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
We jamaa unakua mgumu sana sabab hujajiandaa kuelewa. Uchawi upo... Ukikaa umaskinin ndo utauona mana maskini Wana vita za wenyewe Kwa wenyew. We ukitaka uaminif nenda umakondeni huko ndo utakuja hapa kusema neno.🤣🤣🤣Coz haupo...mtu hajui dunia ipoje, hajui hallucinations, mtu hajaenda shule Kama kaenda kafeli katoka hamna kitu...mtu maskini...lazma utaona maruweruwe na kusema uchawi...lazma utaenda kwa waganga wakudanganye..Ila mtu aliyeelimika, na ana fikra za kimaendeleo hawezi endekeza kuamini vitu visivyo halisi...🤣🤣🤣Sasa Kama dar haupo si inamaanisha I'm ryt... uchawi unachagua wajinga na maskini au?
Na kama unaamini mungu yupo Kwa nn usiamini uchawi? Mana mungu kauzungumzia uchawi piaHata Yesu kutembea juu ya maji fizikia inakataa, Musa kugawa bahari sayans inagoma pia. Kufunga siku 40 bila kula kunywa chochote sayans inagoma. Yesu kupazwa angani inakataa pia. Aloo
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndo akili...Kama unabisha toa ubongo wako ..au hata huo wa Bata wako..afu tuone Kama we au Bata wako mtaishi. Kila kitu unachofanya ni activities za ubongo ndo maana mtu akipata matatizo au jeraha la kichwa...anapata matatizo ya akili...[emoji1787]Ila we huwezi elewa coz hujasoma na Kama umesoma kadai ada yako tu..huna elimu ya neurology
Watu waliofanyia research uchawi wapo.. chuo kikuu Cha Daresalaam kimefanya tafiti hzo. Na uchawi upo wa aina KUU mbili. Upo unaohusisha object za mtu husika kama Uzi wa nguo anazovaa, nyayo nk. Kuna mwingine wanakutengezea object yenye kiumbo Cha mtu na kukitaa jina lako. Wakikivunja mguu na wewe unavunjika.Ni hivi uchawi ni stori za miujiza ya kufikirika mfano mtu kuyayuka gafla hilo haliwezi kuelezewa. Lakini tukiweza kulielezea haliwezi tena kuwa uchawi ambazo ni ignorance ya watu tu.
Nipe mfano wa mtu aliyefanikiwa kwa uchawi ambaye utajiri wake huwezi kuulezea in a logic form.
Kuhusu kufanya kazi Sawa na juhudi Sawa soma nilichoandika hapo juu
Au unataka nikupe mfano mwingine relevant?
Uchawi unazuaga taharuki mana unaonekana kikwazo Cha maendeleo ngazi ya mtu mmoja mmoja. Mbona hata ulaya witchfinder walikuwepo. Watu waliuana sana na wachawi walisakwa kama njegele... Uchawi upo wakuuWalichunguza vp unaweza ukaelezea? Hata Arabuni kuna nchi ukigundulika unajihusisha na uchawi ni kosa kisheria unahukumiwa na hiyo si kwa sababu wanaona uchawi si kweli.
Zaid ya ushindani ubishi sipotezi muda wangu😁Nasubiria hoja
Mara kibao nasema kuwa wazungu(jamii ya waliyoelimika) wana vitabu vingi vyenye kufundisha na kuelezea uchawi na wana elimu tofauti na sisi.🤣🤣🤣🤣Si nipo mtaani...wanaoamini uchawi ni wajinga na wasio na elimu na watu maskini wa kifikra
Kama ujinga unao ma tr akon mwako🤣Silazimishi..we ukitaka kuamini miujiza amini tu...Ila nikikuambia kwamba ni uwongo na ujinga usilalamike...
Huyu utabishana nae tu. Wazungu wenyewe wanaomuaminisha huyu kuhusu uwepo wa sayansi uchawi wanaujua na uliwasimbua sana miaka hiyo.Mara kibao nasema kuwa wazungu(jamii ya waliyoelimika) wana vitabu vingi vyenye kufundisha na kuelezea uchawi na wana elimu tofauti na sisi.
Unalijua hilo?
Msenge tu huyoZaid ya ushindani ubishi sipotezi muda wangu
Sikulazimishi uamini au usiamini ila nacho weza kusema tu ni hv achana na post zangu coz kubishana naww siwez na kila mtu anaiman yake[emoji1787]Sasa bangi gani...Sasa panya kweli .nikae nikuelezee panya si uchawi wakati hata kwetu panya wapo..Hilo unajua
Hili jamaa ni lisenge tuTatizo sio wewe kutoamini uchawi ila tatizo hoja zako ni za kitoto mengi unaongea kwa sababu hujui hata mtaani maisha yakoje.
Sijui jamaa halina kazi hili? [emoji23][emoji23]Hakuna unalojua wewe!Bure kabisa...! Nashangaa hata watu wanaokujibu! Unaweza ukawa una type upo sebleni kwa shemeji hapo unaangalia katuni..!
Ni ujinga tu yani mtu ana misimamo yake anaihusisha au kujifichia kwenye sayansi, yani mtu haamini Mungu au uchawi basi atasema kwa sababu ya sayansi kana kwamba watu wote wasioamini Mungu au uchawi wana uelewa na sayansi, kwao wamefanya kutoanini uchawi kuna mahusiano ya moja kwa na kuwa na elimu. Haya mambo ya kujifichia kwenye sayansi hayapo huku tu hadi kwenye masuala ya tiba,madawa na maradhi kuna mauongo mengi yamehusishwa usishwa na sayansi.Ngoja nikusaidie hilo....
Kuna Utumwa na Ukondoo wa aina 4 mbaya sana...
1. Ukondoo wa Imani.
2. Ukondoo wa Siasa
3. Ukondoo wa Usomi
4. Ukondoo wa Sayansi
Ukipata nafasi ya kutuliza kichwa Jitathimini mwenyewe ili ugundue ulipoangukia. Hofu yangu una vifungo vingi sana, Ujuaji ukiongoza.
Pole sana Mkuu!
Sasa kama uchawi ungekuwa ni si kweli basi Ulaya wangeacha tu elimu iwafanye watu waache wenyewe uchawi maana hauna athari kweli.Uchawi unazuaga taharuki mana unaonekana kikwazo Cha maendeleo ngazi ya mtu mmoja mmoja. Mbona hata ulaya witchfinder walikuwepo. Watu waliuana sana na wachawi walisakwa kama njegele... Uchawi upo wakuu