Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Ninachat..ninapumua..ninakula..ninalala...that shows my brain is functioning..Rudi form 3 usome functions of the brain na udai ada yako shule[emoji4][emoji106]

Hapa hujathibitisha una akili ila umetaja characteristics tu za kiumbe hai, hayo uliyotaja hata bata anayo. Mwenye utindio wa ubongo anafanya yote hayo. Thibitisha una akili jombaa

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hapa hujathibitisha una akili ila umetaja characteristics tu za kiumbe hai, hayo uliyotaja hata bata anayo. Mwenye utindio wa ubongo anafanya yote hayo. Thibitisha una akili jombaa

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣Ndo akili...Kama unabisha toa ubongo wako ..au hata huo wa Bata wako..afu tuone Kama we au Bata wako mtaishi. Kila kitu unachofanya ni activities za ubongo ndo maana mtu akipata matatizo au jeraha la kichwa...anapata matatizo ya akili...🤣Ila we huwezi elewa coz hujasoma na Kama umesoma kadai ada yako tu..huna elimu ya neurology
 
🤣🤣🤣Coz haupo...mtu hajui dunia ipoje, hajui hallucinations, mtu hajaenda shule Kama kaenda kafeli katoka hamna kitu...mtu maskini...lazma utaona maruweruwe na kusema uchawi...lazma utaenda kwa waganga wakudanganye..Ila mtu aliyeelimika, na ana fikra za kimaendeleo hawezi endekeza kuamini vitu visivyo halisi...🤣🤣🤣Sasa Kama dar haupo si inamaanisha I'm ryt... uchawi unachagua wajinga na maskini au?
We jamaa unakua mgumu sana sabab hujajiandaa kuelewa. Uchawi upo... Ukikaa umaskinin ndo utauona mana maskini Wana vita za wenyewe Kwa wenyew. We ukitaka uaminif nenda umakondeni huko ndo utakuja hapa kusema neno.
Mana hujawahi kukutana nao ndo mana huamini. Ni kama mungu tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndo akili...Kama unabisha toa ubongo wako ..au hata huo wa Bata wako..afu tuone Kama we au Bata wako mtaishi. Kila kitu unachofanya ni activities za ubongo ndo maana mtu akipata matatizo au jeraha la kichwa...anapata matatizo ya akili...[emoji1787]Ila we huwezi elewa coz hujasoma na Kama umesoma kadai ada yako tu..huna elimu ya neurology

Safi, ukipata matatizo ya akili huwezi kupumua? Huwezi kula? Huwezi kulala? Neurology inasema kwamba mwenye matatizo ya akili hasikii njaa eeeh! Si ndo ulivyovitaja!? Teh

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Ni hivi uchawi ni stori za miujiza ya kufikirika mfano mtu kuyayuka gafla hilo haliwezi kuelezewa. Lakini tukiweza kulielezea haliwezi tena kuwa uchawi ambazo ni ignorance ya watu tu.

Nipe mfano wa mtu aliyefanikiwa kwa uchawi ambaye utajiri wake huwezi kuulezea in a logic form.

Kuhusu kufanya kazi Sawa na juhudi Sawa soma nilichoandika hapo juu

Au unataka nikupe mfano mwingine relevant?
Watu waliofanyia research uchawi wapo.. chuo kikuu Cha Daresalaam kimefanya tafiti hzo. Na uchawi upo wa aina KUU mbili. Upo unaohusisha object za mtu husika kama Uzi wa nguo anazovaa, nyayo nk. Kuna mwingine wanakutengezea object yenye kiumbo Cha mtu na kukitaa jina lako. Wakikivunja mguu na wewe unavunjika.
Yupo lekcha Udsm aliwahi kuanguka na ungo shinyanga akifanya study za kiethnografia na wachawi
 
Walichunguza vp unaweza ukaelezea? Hata Arabuni kuna nchi ukigundulika unajihusisha na uchawi ni kosa kisheria unahukumiwa na hiyo si kwa sababu wanaona uchawi si kweli.
Uchawi unazuaga taharuki mana unaonekana kikwazo Cha maendeleo ngazi ya mtu mmoja mmoja. Mbona hata ulaya witchfinder walikuwepo. Watu waliuana sana na wachawi walisakwa kama njegele... Uchawi upo wakuu
 
🤣🤣🤣🤣Si nipo mtaani...wanaoamini uchawi ni wajinga na wasio na elimu na watu maskini wa kifikra
Mara kibao nasema kuwa wazungu(jamii ya waliyoelimika) wana vitabu vingi vyenye kufundisha na kuelezea uchawi na wana elimu tofauti na sisi.

Unalijua hilo?
 
Mara kibao nasema kuwa wazungu(jamii ya waliyoelimika) wana vitabu vingi vyenye kufundisha na kuelezea uchawi na wana elimu tofauti na sisi.

Unalijua hilo?
Huyu utabishana nae tu. Wazungu wenyewe wanaomuaminisha huyu kuhusu uwepo wa sayansi uchawi wanaujua na uliwasimbua sana miaka hiyo.
Wafalme waliajiri watu wasake wachawi mitaani na kuwaua. Mana uchawi na maendeleo haukai sehem moja
 
[emoji1787]Sasa bangi gani...Sasa panya kweli .nikae nikuelezee panya si uchawi wakati hata kwetu panya wapo..Hilo unajua
Sikulazimishi uamini au usiamini ila nacho weza kusema tu ni hv achana na post zangu coz kubishana naww siwez na kila mtu anaiman yake
 
Hakuna unalojua wewe!Bure kabisa...! Nashangaa hata watu wanaokujibu! Unaweza ukawa una type upo sebleni kwa shemeji hapo unaangalia katuni..!
Sijui jamaa halina kazi hili? [emoji23][emoji23]
 
Ngoja nikusaidie hilo....
Kuna Utumwa na Ukondoo wa aina 4 mbaya sana...
1. Ukondoo wa Imani.
2. Ukondoo wa Siasa
3. Ukondoo wa Usomi
4. Ukondoo wa Sayansi

Ukipata nafasi ya kutuliza kichwa Jitathimini mwenyewe ili ugundue ulipoangukia. Hofu yangu una vifungo vingi sana, Ujuaji ukiongoza.

Pole sana Mkuu!
Ni ujinga tu yani mtu ana misimamo yake anaihusisha au kujifichia kwenye sayansi, yani mtu haamini Mungu au uchawi basi atasema kwa sababu ya sayansi kana kwamba watu wote wasioamini Mungu au uchawi wana uelewa na sayansi, kwao wamefanya kutoanini uchawi kuna mahusiano ya moja kwa na kuwa na elimu. Haya mambo ya kujifichia kwenye sayansi hayapo huku tu hadi kwenye masuala ya tiba,madawa na maradhi kuna mauongo mengi yamehusishwa usishwa na sayansi.
 
Uchawi unazuaga taharuki mana unaonekana kikwazo Cha maendeleo ngazi ya mtu mmoja mmoja. Mbona hata ulaya witchfinder walikuwepo. Watu waliuana sana na wachawi walisakwa kama njegele... Uchawi upo wakuu
Sasa kama uchawi ungekuwa ni si kweli basi Ulaya wangeacha tu elimu iwafanye watu waache wenyewe uchawi maana hauna athari kweli.
 
Back
Top Bottom