Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Mkuu njoo Tunduma tukupe nyumba ya kukaa bure tena Gorofa Kama unaweza toboa usiku mmoja
 
Mganga gani kafanya kitu Cha ajabu uamini kuwa uchawi upo. Na unipe evidence...usiniambie cjui miti shamba..nataka kitu ambacho mganga kafanya supernatural yaani
 
Bro...,🤣mpaka mitishamba inafanya kazi Tena na Tena na Tena it means ni scientific...hujui process ya science ni Nini...ni kutest reliability ya kitu ..so hamna uchawi hapo...Sayansi we umekariri ya sindano sijui kidonge...hata mitishamba Ina apply laws za science ndo maana Kuna specific herbs for specific diseases huwezi amka Leo ukala embe upone tumbo... Kisa ni tunda tu...haipo hivyo...so bado hujaelezea uchawi unahusikaje
 
Tubishanie nini kuhusu jua kwamba jua ni mungu au si mungu? maana kuna watu wanaanini jua ni mungu.

Wanasayansi wanabishana hadi kama kuna virusi vya ukimwi au hakuna virusi vya ukimwi.
Huyo mwanasayansi anayebisha kua hamna kirusi Cha ukimwi sio mwanasayansi...
 
Mganga gani kafanya kitu Cha ajabu uamini kuwa uchawi upo. Na unipe evidence...usiniambie cjui miti shamba..nataka kitu ambacho mganga kafanya supernatural yaani
Muda wote naeleza hapa kuwa waganga wanashughulika na kutatua shida za watu za kichawi kivitendo ila wewe unadai wanabahatisha sasa unataka niseme nini tena? Wewe si umekaa kijijini ndio maana nikakwambia ueleze hao waganga huko kijijini nao utapeli wao ni wa aina gani huko?
 
Duh yani yote niliyoandika bado haujaelewa tu? Mimi nimezungumzia kuwepo mitishamba yenye kujulikana kutibu maradhi ya kibaolojia ila haijafanyiwa utafiti wa kisayansi, hapo sikuzungumzia uchawi sasa nakushangaa umeingiza uchawi.
 
Wamefanya Nini Cha ajabu
Mi sijaona Cha ajabu walichofanya kusema ni uchawi
 
Duh yani yote niliyoandika bado haujaelewa tu? Mimi nimezungumzia kuwepo mitishamba yenye kujulikana kutibu maradhi ya kibaolojia ila haijafanyiwa utafiti wa kisayansi, hapo sikuzungumzia uchawi sasa nakushangaa umeingiza uchawi.
😁Sawa...so uchawi upo haupo?
 
🤣🤣So unataka tukae tubishane kwamba ukimwi haupo...Ila story za Babu yako za jini ndo za ukweli...Sina huo mda
Hakuna aliyesema hakuna ukimwi bali wanasema ukimwi hausababishwi na virusi vya ukimwi kwa maana hivyo virusi vya ukimwi. Ila tuachane na mada tu dogo.
 
Kumbe hata Mungu huamin
 
Kwa ujinga wko quran zanzibar ndo elimu mama si madrasa si maskuli somo la dini linasomeshwa kila siku kwenye mitaala ya vitabu znz labda ni huko kwenu bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…