Haujaelewa hata nilichokieleza kutokana na upeo wako na nilihisi tu, kipindi cha Corona aliyekuwa rais wa Tanzania wakati huo Magufuli alisisitiza watu kutumia mitishamba kujikinga na corona na kutilia mashaka chanjo za corona, unajua kwa nini watu walisema anapinga sayansi katika kushughulikia ule ugonjwa wa corona?
Science is the systematic study of the structure and behaviour of the physical and natural world through observation, experimentation, and the testing of theories against the evidence obtained.
Sasa mimi napozungumzia mitishamba isiyofanyiwa tafiti za kisayansi wewe unakuja kusema mitishamba ni sayansi.