Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Bac baki nao huko usiseme kitu ni real kama hakipo kwa kila mtu
Acha porojo, Hiyo sentensi ungeiweka hivi "usiseme kitu hakipo wakati ni real kipo kwa watu wengine"


Cha kukuongezea ni kwamba, Dunia ina vitu vingiiii sanaa, pengine kati ya vyote unavyovijua havifiki hata 1% kati ya 100%.

Punguzeni ujuaji mfahamu mambo mengi.
 
Ndio hatujui vitu vingi, that doesn't give u an excuse kutunga vitu akilini mwako na utuambie vipo
 
Ndio hatujui vitu vingi, that doesn't give u an excuse kutunga vitu akilini mwako na utuambie vipo
Tangu mwanzo nakwambia wewe lengo lako ni kubishana, Sisi tunakwambia hayo mambo yapo, Na ili kujihakikishia nmekwambia mpaka sehemu ambayo itakua rahisi zaidi kupata ufumbuzi wa hilo swala ili ujue lipo au halipo,

Mtu mwenye nia ya kweli na ana akili zake timamu na yupo serious kufahamu hilo jambo ili ajue kama lipo au halipo angekua ameshafuata maelekezo na mrejesho umeletwa hapa....

Umeenda Gamboshi ukakuta ni mambo ya kujitungia kichwani ?
 
Bac we nenda Perth Australia ukamwone ng'ombe anapaa
 
Duuuh [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
 
Ila naamimi pia JF wanapaswa kurekebisha section ya reply. Hii topic ilikuwa nzuri sana lakini tunalazimika kuscrow replies for too long 80+ pages za watu wanabishana tu, what the heck!. Wangeweka view kama ya instagram, hawa wanaoendelea kubishana wabaki section/page moja. Unayetaka kusoma new idea, new comments uziruke hizi za kubishana bila kufikia muafaka na unayetaka kuwasoma au kuchangia unaweza kujoin hiyo category.

Having said so, nakubaliana na maelezo yako kuwa wanaojifanya atheists likely ni vitoto vya jana tu vinavyoamini theory of evolution na vimekaririshwa shuleni. The world and the universe is too massive and complex to be explained kirahisi namna hii. Wangesoma na kuamini biblia kwa mfano, wasingekomaza shingo.
 
🤣Mbona hujaamini Quran. All ur doing is appealing to tradition..alichoamini Babu yako ambayo hata internet na technology ya Sasa haijui unataka na sisi tuamini. Hatujasema Mungu hayupo, mada ni uchawi, it's not real ni vitu vya akilini na vinatokea watu according to namna walivyokua katika tamaduni zao ndo maana wazungu Wanaona vampires na aliens wewe unaona mizimu etc it's subject to culture. Hamna mtu anaona jua ni boksi au blue coz everyone can see it and we know it's real ..Kama huna evidence ya kuprove uchawi Kaa kimya usiseme sijui utoto cjui evolution, we evolution ingekuwa uwongo ungefundishwa darasani mbona vipo katika syllabus na why evolution tu iwe lies afu everything else umesoma ni kweli...🤣kisa inapingana na kitabu alichokukaririsha Babu yako ...grow up na jifunze kubadilisha mtazamo into the reality of the universe
 
Setting mbaya ya JF, tunalazimika kusoma conversations ambazo wangezipanga vizuri ingekuwa rahisi kuziruka. Na dhana nzima ya JF ni comments, why watuwekee thread isiyo rafiki kiasi hiki? Fanyeni modification ya comment section bwana, yuko can do better than this. Post nzuri ila haisomeki, yamejaa mareply tu.
 

Wengi elimu imewaharibu
 
Hii rahisi anasubiria zikomae nynyi mnakurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…