Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

S
🤣🤣🤣🤣 Nimeshakwenda kwa mganga wote ni matapeli tu hamna kazi..na mtu yoyote aliye elimika anajua Hilo...🤣🤣🤣nimekuuliza Sayansi inaishia wapi? Hujibu
Nilishakuuliza kama ulishawahi kwenda kwa mganga, ukajibu Ufuate nini! Sasa kama unashindwa hata kusimamia kauli zako, tutakusaidiaje?

Sayansi inaishia kwenye Laws na Principles za kina Newtons na wenzake... Sayansi inaishia kwenye Modernized Laboratories na findings zake. Na kila kisichoeleweka au kuitikia hizo Laws and Principles za wa kina Newtons huitwa Uchawi.
Mfano: Ni namna zindiko la Shamba linavyoweza kuzuia wezi, hakuna maabara itakayoweza nini hufanyika, mwishoe huangukia denial kama yako kuwa ni uongo.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Maendeleo ni kuona majini au sio ..ao majini si ndo watalisha familia, watasomesha watoto...sawa
Ni msongamano wa magari barabarani nadhani na magorofa.
 
Jamani kama huamini uchawi upo embu tulia basi usiharibu uzi.Kutwa kushupalia kila story ya kila mtu alf mtu mwenyew unakuta kazaliwa mjini na kakulia mjini ila unavyokomaza shingo utadhani unajua kila kitu.Huamini tulia hulazimishwi acha watu waandike story zao mnaharibu uzi!
 
Watu waliofanyia research uchawi wapo.. chuo kikuu Cha Daresalaam kimefanya tafiti hzo. Na uchawi upo wa aina KUU mbili. Upo unaohusisha object za mtu husika kama Uzi wa nguo anazovaa, nyayo nk. Kuna mwingine wanakutengezea object yenye kiumbo Cha mtu na kukitaa jina lako. Wakikivunja mguu na wewe unavunjika.
Yupo lekcha Udsm aliwahi kuanguka na ungo shinyanga akifanya study za kiethnografia na wachawi

Thibitisha.
 
Jamani kama huamini uchawi upo embu tulia basi usiharibu uzi.Kutwa kushupalia kila story ya kila mtu alf mtu mwenyew unakuta kazaliwa mjini na kakulia mjini ila unavyokomaza shingo utadhani unajua kila kitu.Huamini tulia hulazimishwi acha watu waandike story zao mnaharibu uzi!
Huyo jamaa ni mpumbavu
 
Kama upo mjini. Nenda pale mbuyuni, kama unaenda salender bridge ukaambiwe story ya ule mbuyu
Hii sure mkuu nimesoma mbuyuni wakati Konoike wanajenga barabara miaka ya 90+ Wajapani walishindwa kuukata huo mbuyu na palikua na ajali balaa.
 
Embu thibitisha huyo lecture alianguka na siyo stori zako za kutunga ukitaka kuwaibia watu.
Achana na habari za lekcha. Wewe umeambiwa nenda kamtafute Kwa faida yako sio mm Wala mtu mwingine. Ukweli ni swala la kukubaliana mana hata Leo ukiambiwa bara la Asia halipo utabisha sababu ulishakubali kuwa lipo.
Sion haja ya kuendeleza mjadala ambao hautabadilisha kitu. Uchawi hakuna ila ukitaka kumuona huyo lekcha nenda udsm mana wote wanamjua na anatembea Kwa kuchechemea mana aliumia.
Thibitisha hapa kama wewe ni passion amo! Ili nione urahis wa uthibitishaji
 
Mimi si passion Amo hivyo unasema uongo.
Thibitisha lecture wa UDSM alianguka?
 
Nime kuprove wrong mimi siyo passion Amo. Thibitisha lecture alianguka?
I just turn the burden of proof.
Thibitisha lecture alianguka na UDSM wanamjua ILI uniprove wrong.
Mm nataka uthibitisho kwamba wewe sio passion amo. Siuoni.. weka UTHIBITISHO hapa kama wewe sio passion amo
 
Mm nataka uthibitisho kwamba wewe sio passion amo. Siuoni.. weka UTHIBITISHO hapa kama wewe sio passion amo

Nimekutumia video hiyo wakizungumza madhara yatokanayo na nadharia za uchawi na prof. Christine noe palanjo.
Nikutumie articles usome maana hakuna lecture aliyeanguka UDSM na hukuelewa hiyo tafiti inahusu nini.

Unaweza thibitisha lecture alianguka?
 
Back
Top Bottom