a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,456
- 1,459
S
Sayansi inaishia kwenye Laws na Principles za kina Newtons na wenzake... Sayansi inaishia kwenye Modernized Laboratories na findings zake. Na kila kisichoeleweka au kuitikia hizo Laws and Principles za wa kina Newtons huitwa Uchawi.
Mfano: Ni namna zindiko la Shamba linavyoweza kuzuia wezi, hakuna maabara itakayoweza nini hufanyika, mwishoe huangukia denial kama yako kuwa ni uongo.
Nilishakuuliza kama ulishawahi kwenda kwa mganga, ukajibu Ufuate nini! Sasa kama unashindwa hata kusimamia kauli zako, tutakusaidiaje?🤣🤣🤣🤣 Nimeshakwenda kwa mganga wote ni matapeli tu hamna kazi..na mtu yoyote aliye elimika anajua Hilo...🤣🤣🤣nimekuuliza Sayansi inaishia wapi? Hujibu