Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

😂😂😂 Matatizo ya kichawi ndo yapi Tena...hivi bongo hamjawahi kuimagine mkiacha hizi Imani potofu mtafika mbali sana
Matatizo ya kichawi ni kama maradhi ya kichawi ambayo wewe unasema waganga hutibu kwa kubahatisha. Watu hawajawahi kuacha kufanya kazi kisa imani potofu, nilisema hapa nina mpangaji wangu anauza duka ni mchaga anapiga kazi hadi akiwa anaumwa ila bado ana imani za kishirikina tofauti na wewe unayejifanya msomi una uelewa mkubwa ila upo kwa mjomba wako unaangalia movie tu huku mjomba wako anauza duka.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂Dogo....huyo mjomba mbona unamkazania. So Africa uchawi upo..bac tuonyeshe. Nimekuambia siku hizi mpaka ajali barabarani zinarekodiwa Kuna majengo Yana camera watu Wana Simu...Ila uchawi unachagua kijijini ambapo hamna camera ili watu watunge story
Mjomba wako anakulemaza alitakiwa akubebe uende nae dukani ujifunze maisha sio anakuacha nyumbani unaangalia vimovie vyako vya Superman, hata uelewa wa mambo ya kawaida tu hauna ndio maana unatuambia kuendesha baiskeli ni sayansi.

Unataka uone uchawi kwenye camera! yani hata sijui dogo umewaza nini maana hizo hoja zako hata akizisikia mtu kama Kiranga atakuona mwehu.
 
Sayansi haikaririwi Ina badilika. Ndo maana mwanzo hakukuwa na chanjo ya corona baadae zikapatikana...ndo Sayansi. Sayansi inaendeleza jamii uchawi ni ujinga tu na umaskini
Kuna sayansi na wanasayansi ndio maana kuna vitu hadi leo wanasayansi wanatofautiana, sasa hii misimamo ya kuwa hakuna Mungu sijui hakuna uchawi ni misimamo ya watu ila wanajaribu kuihusisha na sayansi, na sayansi sio mbadala wa uchawi na ndio maana pamoja na waafrika kuamini uchawi bado tunaenda hospitali kwa maradhi yenye kuhitaji kwenda hospitali.
 
Kwamba ni hallucinations na mifano ipo...Kama issue Ni watu wengi..unataka uniambie jua Lilichezacheza kule Fatima Portugal...no...watu 3000 wanaweza kuona kitu ambacho hakipo..it's possible 😂so bado hamna hoja
Ukiulizwa maswali unasema wewe sio doctor ila wewe ndio unataka tuamini unachosema kuwa hivyo visa vyote ni hallucinations au watu wametunga tu au waganga wana bahatisha.

Sasa sijui nani hana hoja.
 
Nilete uthibitisho upi sasa? Waganga wenye kutibu matatizo ya kichawi umesema ni kubahatisha tu halafu unakuja hapa unataka uthibitisho sasa sijui uthibitisho upi? Yani kama tunajadili suala la kufikirika wakati muda wote nimesema hapa kuwa uchawi unafanyika kivitendo.

Sioni huo uelewa wala kuelimika kwako naona ubishi tu.

Dogo mchana mwema.
Bac...sawa....bye...loser
 
Matatizo ya kichawi ni kama maradhi ya kichawi ambayo wewe unasema waganga hutibu kwa kubahatisha. Watu hawajawahi kuacha kufanya kazi kisa imani potofu, nilisema hapa nina mpangaji wangu anauza duka ni mchaga anapiga kazi hadi akiwa anaumwa ila bado ana imani za kishirikina tofauti na wewe unayejifanya msomi una uelewa mkubwa ila upo kwa mjomba wako unaangalia movie tu huku mjomba wako anauza duka.
😂😂😂😂😂Ad hominem fallacy...skia Kama huna hoja sema...huyajui maisha yangu ..umeona kiki ukisema mchaga sijui anaduka ukaona utaonekana wa maana...Tanzania mkiweza kuvumbua kitu ndo nitaamini kweli Kuna nchi .. wenzetu wamefata Sayansi ya ukweli wameendelea
 
Mjomba wako anakulemaza alitakiwa akubebe uende nae dukani ujifunze maisha sio anakuacha nyumbani unaangalia vimovie vyako vya Superman, hata uelewa wa mambo ya kawaida tu hauna ndio maana unatuambia kuendesha baiskeli ni sayansi.

Unataka uone uchawi kwenye camera! yani hata sijui dogo umewaza nini maana hizo hoja zako hata akizisikia mtu kama Kiranga atakuona mwehu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sawa mkuu...mi kitu ambacho hakionekani hakipimiki ni sawa na hakipo ..na wewe ndo chizi kuamini kitu kipo kisa macho yako na story za vijijini....uliweza kunipa ushahidi wa uchawi wenye uthibitisho unaoeleweka uniambie
 
Kuna sayansi na wanasayansi ndio maana kuna vitu hadi leo wanasayansi wanatofautiana, sasa hii misimamo ya kuwa hakuna Mungu sijui hakuna uchawi ni misimamo ya watu ila wanajaribu kuihusisha na sayansi, na sayansi sio mbadala wa uchawi na ndio maana pamoja na waafrika kuamini uchawi bado tunaenda hospitali kwa maradhi yenye kuhitaji kwenda hospitali.
😂😂😂😂Nani kasema Sayansi umesema Mungu hayupo au uchawi haupo..inasema hamna evidence..ukiwa na evidence tutakusikiliza sio story za Babu yako Kijijini ambae hajui kuandika
 
Ukiulizwa maswali unasema wewe sio doctor ila wewe ndio unataka tuamini unachosema kuwa hivyo visa vyote ni hallucinations au watu wametunga tu au waganga wana bahatisha.

Sasa sijui nani hana hoja.
Tafuta mtu... independent muhoji kuhusu kile kitu afu uone Kama sio hallucinations...😂bro ..akili tu mtu wangu. We ushajiwekea kichwani uchawi uchawi so huwezi elewa.. ungekuwa real watu tusingebishana
 
😂😂😂😂😂Ad hominem fallacy...skia Kama huna hoja sema...huyajui maisha yangu ..umeona kiki ukisema mchaga sijui anaduka ukaona utaonekana wa maana...Tanzania mkiweza kuvumbua kitu ndo nitaamini kweli Kuna nchi .. wenzetu wamefata Sayansi ya ukweli wameendelea
Duh! Kwahiyo hata hilo la mchaga hapo hauamini kwamba nimetunga tu?

Njoo basi uje kuthibitisha mwenyewe.

Wewe ambaye hauamini uchawi na unafuata sayansi tu hadi sasa bado upo kwa mjomba wako unaangalia movie za superman hakuna chochote ulichowazidi hao wanaoamini uchawi ndio maana nasema waafrika kuwa nyuma kimaendeleo hakuna mahusiano na wao kuamini uchawi kama ambavyo unataka kutuaminisha hapa dogo.

Jioni njema.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sawa mkuu...mi kitu ambacho hakionekani hakipimiki ni sawa na hakipo ..na wewe ndo chizi kuamini kitu kipo kisa macho yako na story za vijijini....uliweza kunipa ushahidi wa uchawi wenye uthibitisho unaoeleweka uniambie
Uchawi sio story dogo nimekwambia uchawi unafanyika kwa vitendo na mfano mfano mmoja wapo ni waganga ambako wanashughulika na masuala ya kichawi kitu ambacho wewe unasema wana bahatisha. Sasa utasemaje tena kuwa uchawi ni story tu za vijijini?

Ni ajabu kuhitimisha kuwa hakuna uchawi kisa mie sijakupa ushahidi, habari za uchawi sio za juzi wala jana ila cha kushangaza watu kama nyie huwa hamtaki kujiridhisha wenyewe ukweli wa huo uchawi ila mnaishia kudai kupewa uthibitisho tu, kama uchawi ni story za kijijini we lini ulienda huko kijijini ukajiridhisha kuwa hakuna ukweli kwenye uchawi ni imani tu haina athari kiuhalisia?
 
😂😂😂😂Nani kasema Sayansi umesema Mungu hayupo au uchawi haupo..inasema hamna evidence..ukiwa na evidence tutakusikiliza sio story za Babu yako Kijijini ambae hajui kuandika
Ndio maana nilikwambia kuna mitishamba inatibu maradhi ila hakuna tafiti zake za kisayansi kuelezea jinsi hiyo miti inavyotibu ila watu wanaitumia na hujitibu, sasa wewe kwa sababu unataka hadi upate ushahidi wa sayansi utagoma kuwa hiyo miti kutibu hadi pale itakapokuja kufanyika tafiti ya kisayansi.

Dogo kuna vitu kibao watu walikuwa wanavijua na kuvifanya huko na baadaye ndio sayansi inakuja kuthibitisha ukweli wa hivyo vitu ila watu walivijua kabla hata sayansi haija prove chochote wakati huo.

Sasa wewe mwenye madai ya kuwa hakuna uchawi sijui sayansi ndio imesema hivyo au kwa sababu tu hakuna uthibitisho wa kisayansi.
 
Tafuta mtu... independent muhoji kuhusu kile kitu afu uone Kama sio hallucinations...😂bro ..akili tu mtu wangu. We ushajiwekea kichwani uchawi uchawi so huwezi elewa.. ungekuwa real watu tusingebishana
Tunabishana kwa sababu watu kama nyie hamtaki kujiridhisha na uwepo wa huo uchawi bali mnalazimisha kusimamia huo msimamo wenu, uchawi ungekuwa haufanyiki kivitendo ungekuwa unahadithiwa tu hapo kweli ila uchawi unafanyika kivitendo ila watu kama nyie hata mkishuhudia mnakuja kusema ni kubahatisha tu au ni ujuzi ambao haujaeleweka kitaalamu ila sio uchawi.

Hivyo lazima mabishano yatakuwepo tu kwa hali hiyo.
 
Uchawi sio story dogo nimekwambia uchawi unafanyika kwa vitendo na mfano mfano mmoja wapo ni waganga ambako wanashughulika na masuala ya kichawi kitu ambacho wewe unasema wana bahatisha. Sasa utasemaje tena kuwa uchawi ni story tu za vijijini?

Ni ajabu kuhitimisha kuwa hakuna uchawi kisa mie sijakupa ushahidi, habari za uchawi sio za juzi wala jana ila cha kushangaza watu kama nyie huwa hamtaki kujiridhisha wenyewe ukweli wa huo uchawi ila mnaishia kudai kupewa uthibitisho tu, kama uchawi ni story za kijijini we lini ulienda huko kijijini ukajiridhisha kuwa hakuna ukweli kwenye uchawi ni imani tu haina athari kiuhalisia?
😂😂Kijijini nimeishi bro...na nikikuambia utaniambia sijaishi mda mrefu au sio Kijiji hicho .. utaleta visingizio ili point yako ya uchawi iwe real...Ila ukweli unajulikana🤣 ni story tu na kukosa maarifa. Hao waganga mbona hatuwaoni zaidi ya Hawa matapeli tu wenye mabango na waliopo Instagram. Huku hatuna ujinga ujinga ndo maana huwezi uona so wanaenda sehemu ambazo watu hawajielewi
 
Ndio maana nilikwambia kuna mitishamba inatibu maradhi ila hakuna tafiti zake za kisayansi kuelezea jinsi hiyo miti inavyotibu ila watu wanaitumia na hujitibu, sasa wewe kwa sababu unataka hadi upate ushahidi wa sayansi utagoma kuwa hiyo miti kutibu hadi pale itakapokuja kufanyika tafiti ya kisayansi.

Dogo kuna vitu kibao watu walikuwa wanavijua na kuvifanya huko na baadaye ndio sayansi inakuja kuthibitisha ukweli wa hivyo vitu ila watu walivijua kabla hata sayansi haija prove chochote wakati huo.

Sasa wewe mwenye madai ya kuwa hakuna uchawi sijui sayansi ndio imesema hivyo au kwa sababu tu hakuna uthibitisho wa kisayansi.
Sasa mtishamba kutibu si nature hio...,🤣Cha ajabu nini. Tatizo umekariri Sayansi ni chemical sijui chlorine Nini huko ..we mjinga nikikuambia huna elimu unabisha.. plants ni biology ni science na chemicals zipo kwenye plants zinatibu...hamna uchawi hapo... Sayansi sio lazma sindano..hujui Sayansi ni Nini unajiaibisha mkuu
 
Tunabishana kwa sababu watu kama nyie hamtaki kujiridhisha na uwepo wa huo uchawi bali mnalazimisha kusimamia huo msimamo wenu, uchawi ungekuwa haufanyiki kivitendo ungekuwa unahadithiwa tu hapo kweli ila uchawi unafanyika kivitendo ila watu kama nyie hata mkishuhudia mnakuja kusema ni kubahatisha tu au ni ujuzi ambao haujaeleweka kitaalamu ila sio uchawi.

Hivyo lazima mabishano yatakuwepo tu kwa hali hiyo.
Bac tubishane kuhusu jua
 
😂😂Kijijini nimeishi bro...na nikikuambia utaniambia sijaishi mda mrefu au sio Kijiji hicho .. utaleta visingizio ili point yako ya uchawi iwe real...Ila ukweli unajulikana🤣 ni story tu na kukosa maarifa. Hao waganga mbona hatuwaoni zaidi ya Hawa matapeli tu wenye mabango na waliopo Instagram. Huku hatuna ujinga ujinga ndo maana huwezi uona so wanaenda sehemu ambazo watu hawajielewi
Wewe ndio umesema story za uchawi zipo kijijini tu, ila mimi nakwambia hata huku mjini waganga wapo na hao matapeli pia wapo. Uganga ni ujuzi dogo hivyo sio mpaka ukae kijijini ndio uwe mganga wa kweli.

Kama umekaa huko kijijini haya tuelezee jinsi gani uchawi ni kukosa maarifa na vp ni nini hasa hao waganga wa huko hufanya ambacho huonekana ni wa kweli?
 
Sasa mtishamba kutibu si nature hio...,🤣Cha ajabu nini. Tatizo umekariri Sayansi ni chemical sijui chlorine Nini huko ..we mjinga nikikuambia huna elimu unabisha.. plants ni biology ni science na chemicals zipo kwenye plants zinatibu...hamna uchawi hapo... Sayansi sio lazma sindano..hujui Sayansi ni Nini unajiaibisha mkuu
Haujaelewa hata nilichokieleza kutokana na upeo wako na nilihisi tu, kipindi cha Corona aliyekuwa rais wa Tanzania wakati huo Magufuli alisisitiza watu kutumia mitishamba kujikinga na corona na kutilia mashaka chanjo za corona, unajua kwa nini watu walisema anapinga sayansi katika kushughulikia ule ugonjwa wa corona?

Science is the systematic study of the structure and behaviour of the physical and natural world through observation, experimentation, and the testing of theories against the evidence obtained.

Sasa mimi napozungumzia mitishamba isiyofanyiwa tafiti za kisayansi wewe unakuja kusema mitishamba ni sayansi.
 
Bac tubishane kuhusu jua
Tubishanie nini kuhusu jua kwamba jua ni mungu au si mungu? maana kuna watu wanaanini jua ni mungu.

Wanasayansi wanabishana hadi kama kuna virusi vya ukimwi au hakuna virusi vya ukimwi.
 
Back
Top Bottom