[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nenda bac..ulaya makanisa yanageuzwa bar club restaurant kisa watu hawaendi...huku Africa watu ndo wanatajirika na makanisa kisa watu wajinga na Washirikina. Nimekuambiaje Halloween ipo kwa sababu ni tradition. Jamii zao ziliamini uchawi ndio..Ila saa hivi ni fun tu. Ni kama kujikumbushia. Ndo maana watoto wanavaa nguo za mavampires, na vingine kutishana for fun. Ila hawaamini. [emoji1787]Kama unabisha Wikipedia Halloween. Mtu hujui Halloween ni Nini afu unapiga kelele. Yaani ni kama Valentine's day tu, ni siku fulani special kwa ajili ya tradition fulani