Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

Enzi hizo home familia nzima tulikuwa tumetoka tumeenda kwenye sherehe nyumbani alibakia dada yangu mkubwa basi kule harusini nikamzingua bi mkubwa kuwa kichwa kinauma nataka kurudi home ila lengo langu ilikuwa niende Uwanjani kucheza mpira, sasa nafika home nakuta mlango uko wazi nikaingia taratibu kufika chumba cha sista nakuta mlango uko wazi sista anagongwa kifo cha mende na anko wetu, nilirudi nyuma taratibu nikatoka mbio kurudi kwenye sherehe, ile ilikuwa mara yangu ya kwanza kuona watu wakifanya mapenzi, sikuwahi kumwambia mtu na hawajui kama niliwaona hadi leo hii sista aliolewa ana watoto wanne na yule anko alikua anajifanyaga mkuda enzi hizo nikikosea nyumbani yeye ndio anaitwa anichape ila siku hizi huwa nakaa nae tunapiga tungi, nimepanga siku moja tukilewa nimchane nilimuona akimgonga sista.
Dah anko anamtomba mtoto wa dada yake! Dah
 
Mama mtoto wangu alitumia simu yangu kumtumia ex wake picha...akatuma then akafuta hajui kua simu inatunza kwenye recycle bin.
Najua hajui kama najua...mi namchora tu.
Daah hii dharau sana... picha chafu boss au??
 
Mimi kuna rafiki yangu alianza kumla manzi yangu, na kumbuka tulikuwa ni ma best sana. Alikuwa ana nyanduana nae kimya kimya kumbe nilijua nikakata mawasiliano ya mahusiano (sex,care,mawasiliano) na sikumuambia yy wala manzi.

Siku jamaa ananiita kuwa manzi ana lalamika mbona na mpoteze, wakaweka kikao mi kimya wakaongea nawaangalia tu.

nikatoa pc nika copy maongezi yote nilikuwa na wafatilia (hapa kwa urahc ni kuwa wakiongea kila kitu niku nakipata, hata akipiga voda voice lazima ibaki kwangu) walio kuwa wanaongea juu yangu nikaweka kwenye flash nikaweka kwenye subfr.

nika chukua screen za msg zote na picha walizo kuwa wana tumiana na video nika 4ward kwa wote, nika play sauti ya hoofr nikasepa.

sijawahi tafutwa hadi leo
Daa hayo maarifa nayahitaji sana mkuu
 
Nakumbuka huyu mzee mke wake alisafiri baada ya kupata msiba Mbeya sasa, hii nyumba yake ina vyumba vinne vya ndani na vina wapangaji, sasa kuna mpangaji mmoja wa kike anaishi singo, basi bhana mimi ninapolala napakana na chumba chake na mkewe, na havina ceiling board, basi nikasikia mlango simu yake imeingia meseji, twilili, nikasikia anafungua mlango taratibu akatoka chumbani kwake na kuingia chumba cha huyo mpangaji, nikawa tu nahisi.

Ila ghafla kuna mtu akawa anamuita maana ilikuwa bado mapema nikasikia anatoka haraka kwa kunyata alipofika chumbani kwake akaitika

Ila mchezo uliendeleaga mpaka mkewe aliporudi
Kuna jamaa ofisini chalii mdogo anatoka na boss mmama, ila wanavunga kama sio wapenzi.
 
Girlfriend wangu anatembea na best friend wangu mwanzo jamaa hakujua nagonga mzigo akamtongoza akakubaliww . Kuna siku akaniandikia sms anashida na hela nikampa mbele ya jamaa. Ikabidi jamaa qniulize kama nakula mzigo nikamwambia mbona tuna two yrs jamaa akashangaa sana . Nikamwambia nitaanchana naye jamaa naye akasema anampiga chin ila jion yake nikaona kazidiasha sana kuchat na mm ili kudadisi kama tumewasiliana. Mm sikumwambia kitu ila nikaendelea kuchakata
 
Rafiki yangu wa damu kamloga bosi,ndani ana madude dude ya ajabu ajabu na makarstasi mekundu ya Qur'an (kiarabu) kibao kaweka chini ya kitanda

Niliona siku niliyoenda kumcheki tukaoiga Stori kisha akaenda dukani kha kitu alisahau akanipigia simu akaniambia nimwanaglizie,nikisimama chini nikakutana na hayo madudu yanachinhulia uvinguni,nikaisoma nikakuta jina la bosi wake limeandikwa mara nyingi sn Kwa maandishi mekundu..

Hajui km najua maana nilikausha maana hainihusu na umepita mwaka sasa
Bosi wake aliishakufa?
 
Back
Top Bottom