Kitu hiki kimoja unachokosa ndiyo kitakachokuzuia usipate mafanikio makubwa

Kitu hiki kimoja unachokosa ndiyo kitakachokuzuia usipate mafanikio makubwa

Trump ni billionea tena sio wa mchezo. Kinachofanyika ni kumchafua Trump na kumtoa kwenye reli ya kutambulika duniani na kuendelea kusimama kama mwanasiasa bora Duniani.
Hayo yote ni Propaganda hasa baada ya sera za Trump kua Kinzani sana na sera nyingi za watawala wa kidunia, wa chama chake baadhi na chama kikuu cha Upinzani.
Mara nyingi Trump hakupenda kupangiwa nini afanye na nini asifanye na kutokana na misimamo yake ndio hapo wakubwa wa Dunia chini ya kiongozi wa Dunia ( simtaji) wakaamua kumtoa na kumuweka kua kiongozi wa muhula mmoja.
Sasa kama unasema leo Trump hana lolote mimi niko tayari tukinzane kwa data ingawa naamini wewe data zako ni zile zilizopikwa tayari kumchafua Trump
Kama amekwepa kodi mbona hajapelekwa mahakamani hadi leo? Kama vitega uchumi vyake si Imara mbona bado hatusikii kutikisika kwake?
Mambo Haya ni magumu na yanahitaji elimu zaidi ya hii ya Dunia.
Yaani kwa namna ulivyoandika tu inaonekana hio kichwa Ni empty set,Bora muda wa kubishana na wewe nikapige Puli.
 
Mkuu,
Nimeanza kuandika hapa JF kuhush personal development mwaka 2013.
Hii Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja ni moja ya makala niliyoandika hapa mwaka 2014 na watu mpaka leo wananishukuru kwa kuchukua hatua ya kuwekeza UTT.
Hivyo jua nilikuwepo hapa, nipo na nitaendelea kuwepo.
Karibu sana ujifunze na uweze kuwa bora.
Na pia nikutakie kila la kheri.
Ndugu Makirita Amani achana na huyo mpuuzi anayejifanya anajua sana kumbe hana alijualo. Anavunga ana mafanikio kumbe pengine hata nyumba ya kulala inayofanana na banda la njiwa hana.Hapa JF kila mtu anajifanyaga ana mafanikio.

Wewe sijaona kosa lako.Yeye kama anaona andiko lako halimsaidii apite kushoto aache wengine wahangaike nalo.Achana na huyo mpuuzi.
 
Kuna wengine wanatka kushirikisha watu wengune kwenye mambo mema.
Hiyo kuuza ni kulipia gharama za vitendea kazi na kumwezesha apate shibe na huduma zingine za msingi za kibinadamu.
Siyo kweli mkuu, none is here for you my friend, you're on your own. By the way umejibu kiungwana na kibusara sana. [emoji106]
 
Hakuna kitu cha bure ... ametumia muda wake , nguvu zake , akili yake alafu akupe BURE... kila mtu anatakiwa alipwe kwa anachokifanya kwa wengine ... it’s what its

Universal Law
 
Angalau njia za Mshana Jr ndiyo ziko practical zaidi...

Hizi za kwako ni porojo tuu, narudia ni porojo tuu...

Kwa sababu kubatizwa ni jambo moja na kuuishi ubatizo ni jambo jingine kabisa ambalo lina vikwazo lukukii....

Unforgettable
 
Naona watu wamekariri tu "eti ukiitwa kwenye fursa ujue wewe ndo fursa" zaidi ya hapo hajui kitu kingine

basi hamna shida utajiri huo ktk kitabu cha bwana makirita aman[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna kitu cha bure ... ametumia muda wake , nguvu zake , akili yake alafu akupe BURE... kila mtu anatakiwa alipwe kwa anachokifanya kwa wengine ... it’s what its

mimi sijasema kuna kitu cha bure.

nakazia hapo kwenye utajiri katika vitabu,bila shaka mleta mada amevisoma vizuri sana.
 
Karibuni kupata kitabu,
Kinakupa mwongozo sahihi wa kuishi maisha ya kweli kwako badala ya kuiga maisha ya wengine.
Na eneo la kwanza kuwa mkweli kwako ni kwenye maana ya mafanikio.
Wengi wanahangaika na maana za mafanikio ambazo siyo zao, mwisho hata wakifikia hayo wanayoambiwa ni mafanikio, bado ndani yao wanajiona watupu.
Usiendelee kupoteza muda na maisha yako kwa kuhangaika na maana ya mafanikio isiyo sahihi kwako.
Pata leo kitabu cha MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO ili ujue maana sahihi ya mafanikio kwako na uifanyie kazi.
Wasiliana na 0752 977 170 kupata kitabu chako leo.
 
Nimefanikiwa sana. Mimi nilizaliwa maskini sana. Na sasa hivi nimejenga mnoo na nina assets nyingine nyingi sana tu ikiwa pamoja na magari aina ya land cruisers mengi tu. Nina residence nchi ya nje ambako mshahara wangu unamzidi hata mbunge wa Tanzania. Na utanisikia tu kwa media in the years to come. I guarantee you.
Ukute upo kwa mama yako umejilza miguu imepauka unasubiri kula,hakuna mmiliki wa gari yenye c.c 4000 ,mwenye akili ndogo na tambo kama zako
 
Back
Top Bottom