Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

sasa wewe na upumbavu wako hapa umeongea nini, kafie mbele huko maana wewe washadadia tu usichokijua
 
sasa wewe na upumbavu wako hapa umeongea nini, kafie mbele huko maana wewe washadadia tu usichokijua

Ahahaaa! Ona ulivyo mbumbumbu mzungu wa reli, hata kuelewa kitu kidogo kama hicho umeshindwa! Una kichwa kigumu kama punda kihongwe!

We kweli kopo tupu! Ahahaaaa!
 
Wala hawana haja ya kuomba kwa sababu Tanzania ni nchi yao, wanaweza kwenda tafuta ardhi popote na wakapata kama wanavyofanya wasukuma.
 
Nyie Wachagga acheni uhuni, hakuna ardhi ya huruma ya Serikali!!!


Nendeni mkatafute ardhi wenyewe, Tanzania ni yenu siyo kusubiri huruma ya Serikali!! Tatizo lenu mnataka mkae kimatabaka hamtaki kuchangamana
 
They will remain first class like it or kill yourself... Remember it's the brain that matter, once you have it no one can take it from you... Utaswaga ng'ombe sanaaaaa...

Kwani wakienda kununua Ardhi sehemu nyingine wanakatazwa? Kwenda kuomba bungeni ili iweje?
 
Wewe kiaz inayotaka eneo ni jamii sio familia ya mtu , watu wanataka eneo labda hekari za mraba elfu 22, nusu ya mkoa wa singida , ununue ?

Mnataka attention bila sababu. Watanzania wanaonunua Ardhi sehemu nyingine wanatumia taratibu gani?
Mnachekesha sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hujauliza swali lolote hapo ni ujinga tupu

Nani kasema wamenyimwa ?? Wao wameomba eneo , kuomba kwao eneo haimaniishi wamenyimwa , na ukiumia sana , nawe na jamii yenu ombeni
Ni upumbavu kuanza kuomba ardhi kikabila, wakati nchi nzima watu wanaruhusiwa kununua ardhi.
 
Got problem with it?
Problem with what?

I am a free market classical liberal (libertarian) with a penchant for individualism and distaste for collectivism.

They can do what they did at Kimara anywhere, without any special government aid.

This business of crying for government aid for things that are basic constitutional rights is lame.

What's next?

Will they ask the government to assist in giving them wives?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…