luambo makiadi njoo ndugu yangu. Kuna wachovu waliopigika na maisha kwa ajili ya uvivu wao wanasema wachaga ndiyo wamewasababishia.
Kwani wakiomba una poteza chochote dogo?! Acheni ukabila nyie!
Acha uoga mtoto wa kiume! Kaza kidogo!Wewe mimi siyo dogo. Uwe na adabu kidogo
Acha uoga mtoto wa kiume! Kaza kidogo!
Hata jf umejiunga 23 October 2019.
Wakati wakongwe tuko hapa tangu 3rd July 2012.
Bila shaka hata
Kwa umri wangu, wewe ni dogo sana! Kuwa mpole tu.
Heshimu wakongwe humu dogo! Sisi kaka zako, tulia!
Just Be humble!
Unasumbuka na sukuma syndrom ..kuna shida gani na alichokisema? Si kawakilisha tatizo la ardhi jimboni kwake!Yaani Mbunge wa Vunjo mwenye PhD anamwomba Waziri wa Ardhi awapatie Wachagga wa Vunjo ardhi kwingineko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sababu ni ili walime kwani kwao wamegawana ardhi kwa mila zao na kujikuta na vipande vidogo sana ambavyo mtu hawezi kulima. Eti wamesongamana, si mpunguze kuzaana.
Hivi huyu Mbunge na hao wachagga wenzie hawaijui Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu freedom of movement?
Hivi yeye mhe. Dr Kimei alipojenga Dar es Salaam na kupata ardhi kubwa Dar mbunge wake wa wakati huo ndio alienda bungeni kumuombea hiyo ardhi? Yaani kabisa anataka annexation ya mkoa wa Kilimanjaro! Au Vunjo nzima ni registered company?
Hivi hao Wasukuma waliojaa huko Mbeya na Morogoro waliomba wapewe hayo maeneo bungeni kupitia wawakilishi wao?
Kwa fikra zake kama hizi huyu bwana hafai kabisa kuwa kiongozi wa juu katika taifa hili kutokana na misingi yake.
Wanasumbuliwa na FIKRA finyuluambo makiadi njoo ndugu yangu. Kuna wachovu waliopigika na maisha kwa ajili ya uvivu wao wanasema wachaga ndiyo wamewasababishia.
[emoji106]Wewe ni mburula asiye na ufahamu mdogo tu, jamaa hapo juu kajitahidi sana kukuelimisha lakini inaonekana imejawa na wivu na chuki za kijinga za kikabila, sikia bro kumchukia aliyefanikiwa hakukufanyi umzidi wala umfikie.
Mafanikio ya wachagga kwenye elimu, biashara na maendeleo yanaonekana kuwaumiza wengi sana, hats kujikuta wamejawa na visasi na wivu wakishamba kama wewe.
Yaani unazidi kudhihirisha jinsi ulivyo mjinga na ukabila kwakiwango cha lami, nakushauri hebu ficha ujinga wako hata kidogo. Ujinga ukizidi unageuka kuwa upumbavu, na mpumbavu haelevuki, hata bible inasema, "usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, usije ukafanana nae"
Hapa sikupi za uso ngoja hawa wakujibu maana hoja Ni ya kawaida Ila mnaleta chuki za ajabu ajabu mm sikujibu hapa nipo na wewe kwenye ule Uzi wetu kuleNgoja niwasaidie, mkoa wa Rukwa wakati unaanzishwa uliundwa na Wilaya mbili ambazo ni Sumbawanga iliyokuwa mkoa wa Mbeya na Mpanda iliyokuwa mkoa wa Tabora na mkoa huo pamoja na Lindi na Dar es Salaam ilianzishwa mwaka 1974
[emoji106]Kabisa mkuu, Sasa kuna watu kwa kuto kujua historia au kwa chuki zao binafsi wanaleta mada mfu kama hizi, hawajisumbui hata kujifunza historia ya nchi yao!
Leo anaona ajabu sana watanzania wenzake kuomba ardhi kwenye nchi yao, wakati wakimbizi wa Burundi zaidi ya laki moja walipewa ardhi na uraia kule Rukwa na Katavi, wakimbizi wasomalia maelfu walipewa ardhi na uraia kule Tanga, wapigania Uhuru wa nchi za kusini mwa afrika walipewa ardhi Morogoro na Dodoma,
Lakini watanzania wenzao kuomba ardhi kwaajili ya kilimo na makazi ni nongwa!
Miaka ya 70 nyerere akiwahamishia wachaga maeneo mbalimbali kwenda kuwachangamsha,kwahyo kimei ameomba ili wazidi kuchangia[emoji1][emoji1]Sijui unaota mchana ? Kuna sehemu yoyote kanda ya Ziwa yenye wakazi kiduchu ? Pole sana.
Source ya hiihabari iko wapi? Halafu umeindika kindezi sana, Chuki tu zimekutawala, na watu walivyo bogus wanachingia mada bila kuuliza chanzo.Yaani Mbunge wa Vunjo mwenye PhD anamwomba Waziri wa Ardhi awapatie Wachagga wa Vunjo ardhi kwingineko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sababu ni ili walime kwani kwao wamegawana ardhi kwa mila zao na kujikuta na vipande vidogo sana ambavyo mtu hawezi kulima. Eti wamesongamana, si mpunguze kuzaana.
Hivi huyu Mbunge na hao wachagga wenzie hawaijui Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu freedom of movement?
Hivi yeye mhe. Dr Kimei alipojenga Dar es Salaam na kupata ardhi kubwa Dar mbunge wake wa wakati huo ndio alienda bungeni kumuombea hiyo ardhi? Yaani kabisa anataka annexation ya mkoa wa Kilimanjaro! Au Vunjo nzima ni registered company?
Hivi hao Wasukuma waliojaa huko Mbeya na Morogoro waliomba wapewe hayo maeneo bungeni kupitia wawakilishi wao?
Kwa fikra zake kama hizi huyu bwana hafai kabisa kuwa kiongozi wa juu katika taifa hili kutokana na misingi yake.
Daraja la mwisho Ni wale wanaoishi nyumba za tembe Hadi karne hii,pia wale wanaopanda punda kama usafirSasa hivi wachagga ni daraja la mwisho kabisaaaa. Wala hatuumizi kichwa tena
Sasa hiyo inahusiana vipi na post?Wanajionaga wao ni first class citizens.
Ila jiwe kawaweza
Tatizo mnajadili kwa elimu zenu za std four hapa,hoja ya kimei Ni nzuri Ina lengo la uwekezaji ,badala ya maeneo kubaki mapori wayagawe kwa watu ili waendeleze,hata ulaya ardhi yote inatumika effectivelySubr usikie povu lao... ni zaid ya foma limao!!!
[emoji106]Wewe ni punguani, Kimei ametoka BOT kaipaisha CRDB halafu kwa akili zako za mtindio unasema hafai kua kiongozi.
Alishakuwa sasa utamfanyeje
Ahahaaa! Nimecheka kwa dharau sana, hivi we kilaza utanizidi nini aisee, we mtoto wa juzi hapa 23 October 2019 bado kabisa unanuka maziwa mdomoni?!Unajuaje ? Pengine nilikuwa natumia ID nyingine. Ndio maana nikasema wewe ni dogo tu uwe na adabu kwa wanaokuzidi kila kitu.