Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

Wewe mimi siyo dogo. Uwe na adabu kidogo
Acha uoga mtoto wa kiume! Kaza kidogo!

Hata jf umejiunga 23 October 2019.

Wakati wakongwe tuko hapa tangu 3rd July 2012.

Bila shaka hata
Kwa umri wangu, wewe ni dogo sana! Kuwa mpole tu.

Heshimu wakongwe humu dogo! Sisi kaka zako, tulia!

Just Be humble!
 
Unajuaje ? Pengine nilikuwa natumia ID nyingine. Ndio maana nikasema wewe ni dogo tu uwe na adabu kwa wanaokuzidi kila kitu.

Yaani Mbunge wa Vunjo mwenye PhD anamwomba Waziri wa Ardhi awapatie Wachagga wa Vunjo ardhi kwingineko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sababu ni ili walime kwani kwao wamegawana ardhi kwa mila zao na kujikuta na vipande vidogo sana ambavyo mtu hawezi kulima. Eti wamesongamana, si mpunguze kuzaana.

Hivi huyu Mbunge na hao wachagga wenzie hawaijui Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu freedom of movement?

Hivi yeye mhe. Dr Kimei alipojenga Dar es Salaam na kupata ardhi kubwa Dar mbunge wake wa wakati huo ndio alienda bungeni kumuombea hiyo ardhi? Yaani kabisa anataka annexation ya mkoa wa Kilimanjaro! Au Vunjo nzima ni registered company?

Hivi hao Wasukuma waliojaa huko Mbeya na Morogoro waliomba wapewe hayo maeneo bungeni kupitia wawakilishi wao?

Kwa fikra zake kama hizi huyu bwana hafai kabisa kuwa kiongozi wa juu katika taifa hili kutokana na misingi yake.
Unasumbuka na sukuma syndrom ..kuna shida gani na alichokisema? Si kawakilisha tatizo la ardhi jimboni kwake!
 
Kuomba ardhi sio ajabu,Kuna watu wanatoa comments humu kwa chuki Kali,kuna watu wakisikia Neno "chaga" wanatoa chuki Kali
Mbunge kaomba ardhi kwani shida ipo wapi? Mbona wawekezaji não huomba ardhi hamshangai?
 
Wewe ni mburula asiye na ufahamu mdogo tu, jamaa hapo juu kajitahidi sana kukuelimisha lakini inaonekana imejawa na wivu na chuki za kijinga za kikabila, sikia bro kumchukia aliyefanikiwa hakukufanyi umzidi wala umfikie.

Mafanikio ya wachagga kwenye elimu, biashara na maendeleo yanaonekana kuwaumiza wengi sana, hats kujikuta wamejawa na visasi na wivu wakishamba kama wewe.

Yaani unazidi kudhihirisha jinsi ulivyo mjinga na ukabila kwakiwango cha lami, nakushauri hebu ficha ujinga wako hata kidogo. Ujinga ukizidi unageuka kuwa upumbavu, na mpumbavu haelevuki, hata bible inasema, "usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, usije ukafanana nae"
[emoji106]
 
Ngoja niwasaidie, mkoa wa Rukwa wakati unaanzishwa uliundwa na Wilaya mbili ambazo ni Sumbawanga iliyokuwa mkoa wa Mbeya na Mpanda iliyokuwa mkoa wa Tabora na mkoa huo pamoja na Lindi na Dar es Salaam ilianzishwa mwaka 1974
Hapa sikupi za uso ngoja hawa wakujibu maana hoja Ni ya kawaida Ila mnaleta chuki za ajabu ajabu mm sikujibu hapa nipo na wewe kwenye ule Uzi wetu kule
 
Kabisa mkuu, Sasa kuna watu kwa kuto kujua historia au kwa chuki zao binafsi wanaleta mada mfu kama hizi, hawajisumbui hata kujifunza historia ya nchi yao!

Leo anaona ajabu sana watanzania wenzake kuomba ardhi kwenye nchi yao, wakati wakimbizi wa Burundi zaidi ya laki moja walipewa ardhi na uraia kule Rukwa na Katavi, wakimbizi wasomalia maelfu walipewa ardhi na uraia kule Tanga, wapigania Uhuru wa nchi za kusini mwa afrika walipewa ardhi Morogoro na Dodoma,

Lakini watanzania wenzao kuomba ardhi kwaajili ya kilimo na makazi ni nongwa!
[emoji106]
 
Yaani Mbunge wa Vunjo mwenye PhD anamwomba Waziri wa Ardhi awapatie Wachagga wa Vunjo ardhi kwingineko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sababu ni ili walime kwani kwao wamegawana ardhi kwa mila zao na kujikuta na vipande vidogo sana ambavyo mtu hawezi kulima. Eti wamesongamana, si mpunguze kuzaana.

Hivi huyu Mbunge na hao wachagga wenzie hawaijui Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu freedom of movement?

Hivi yeye mhe. Dr Kimei alipojenga Dar es Salaam na kupata ardhi kubwa Dar mbunge wake wa wakati huo ndio alienda bungeni kumuombea hiyo ardhi? Yaani kabisa anataka annexation ya mkoa wa Kilimanjaro! Au Vunjo nzima ni registered company?

Hivi hao Wasukuma waliojaa huko Mbeya na Morogoro waliomba wapewe hayo maeneo bungeni kupitia wawakilishi wao?

Kwa fikra zake kama hizi huyu bwana hafai kabisa kuwa kiongozi wa juu katika taifa hili kutokana na misingi yake.
Source ya hiihabari iko wapi? Halafu umeindika kindezi sana, Chuki tu zimekutawala, na watu walivyo bogus wanachingia mada bila kuuliza chanzo.
 
Sasa hivi wachagga ni daraja la mwisho kabisaaaa. Wala hatuumizi kichwa tena
Daraja la mwisho Ni wale wanaoishi nyumba za tembe Hadi karne hii,pia wale wanaopanda punda kama usafir
Hebu nisomee hapa wewe mchunga mbuzi Naona una hasira Sana unaposikia Neno "wachaga"
2094846012.jpeg
 
Subr usikie povu lao... ni zaid ya foma limao!!!
Tatizo mnajadili kwa elimu zenu za std four hapa,hoja ya kimei Ni nzuri Ina lengo la uwekezaji ,badala ya maeneo kubaki mapori wayagawe kwa watu ili waendeleze,hata ulaya ardhi yote inatumika effectively
Tatizo hamjasoma hamuwezi elewa hoja ya kimei mnajadili ki ukabila foolish you
Cc
nizakale
 
Unajuaje ? Pengine nilikuwa natumia ID nyingine. Ndio maana nikasema wewe ni dogo tu uwe na adabu kwa wanaokuzidi kila kitu.
Ahahaaa! Nimecheka kwa dharau sana, hivi we kilaza utanizidi nini aisee, we mtoto wa juzi hapa 23 October 2019 bado kabisa unanuka maziwa mdomoni?!

Hata kama unatumia new ID, Mimi Niko humu tangu mwaka 2006 as anonymous, nikajiunga 2012. Bado sana hujanikuta, utasubiri sana dogo!

Watu tulianza kutumia social media tangu enzi za Dar Hot Wire, tukaamia Jambo Forums, marafiki.com, Hi5, BBM, miaka ya 2002. vipi enzi hizo ulikuwepo wewe kindergartner?!

Madogo wasiku hizi mnadharau sana kaka zenu, kujua kutumia smartphone imekuwa nongwa sana! Usije nifanya nikapigwa ban bureee, Mara ya mwisho kupigwa ban na moderator ilikuwa mwaka 2016, hivyo tuliza mshono dogo unapo deal na kaka zako!
 
Wachaga hoyeee hahaha

Unajua mchaga akiizungumzia Kilimanjaro unaweza sema ni Paris ya bongo ila ukifika Kilimanjaro utacheeeka hahahahaha

Hawa jamaa wanapenda kusifiwa kinoma yaani, ukiwapinga kidogo kwa fact utaonekana unachuki hahaha

Shida ya baadhi ya wachaga walichelewa kuingiliana na baadhi ya makabila ya Tanzania hivyo kuamini wao ni kabila pekee lililostaarabika

Kitu ambacho si kweli

Ngoja niendelee kuwatombea dada zao ili tuwatoe mbegu za ubaguzi.
 
Back
Top Bottom