Kituko kingine Simba et Fadlu David kutoka ligi daraja la chini Afrika ndie kocha mpya. Angalia Cv Mbovu kabisa. Mgunda ni bora mno kwake

Makolo mnafarijiana kwa kumleta kocha msiemuelewa vyema
Tulimuelewa vyema Benchika na akashindwa ngoja aje huyo msiemuelewa ili siku moja awafundishe kumuelewa...
 
somebody mashaka, jina lenyewe tu tayari inatia shaka
Hivi kumbe geita imeshuka daraja nilikua sijui..
Hapo kwny Mashaka tunamuita Mash...hutasikia mashaka kabisa moyoni mwako...
 
Ungemjibu kwa hoja na sio kwa kupanic na matusi, hadi hapo wewe ndio unaonekana mjinga
Mpumbavu hujibiwa kipumbavu, Mama yetu Samia ndiye pekee aliyechagua kukaa kimyaa wengine wapumbavu tunaruka nao.
 
Kwahiyo Raja Casablanca siku hizi ipo south. Hivi utopolo hamjaongezeka tu wenye akili ukitoa wale wawili?
 


NADHANI HILO WAACHIE SIMBA WENYEWE. TUENDELEE NA MAMBO YETU YANGA. TUBORESHE TEAM YETU. MAANA TUNAHAINGA NAAMBO YA NGOSWE.
 

Wewe ni shemeji yake Dr. Slaa? Mke wake naye alikuwa naye ni Mushumbushi
 
Vincent Company, aliishusha daraja timu yake EPL. Lakini kaajiriwa na Bayern Munich, wabongo acheni ujuaji hapo akifanya wonders sijui mtasemaje. Kocha aliefundisha Getafe alitufikisha wapi?
Sasa waseme cv yake ya ukweli wasitudanganye. Huyu ni kocha kwa miaka 7+ hana lolote. Anashuka toka kocha adi assistant huko tena Moroko. Timu ya mbali uko viwango vya Africa kuja kuwa Leo anapewa timu bora namba sita Africa.
Hakuna muujiza msimu huu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…