Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Mna maono ya uovu sana...hahaha alipotea kweli na atapotea tena come may 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna maono ya uovu sana...hahaha alipotea kweli na atapotea tena come may 2025
Sure...Hukuonekana kabisa JF
tusubiri tuone mambo yatakuwaje.Mna maono ya uovu sana...
Yupi huyo?tusubiri tuone mambo yatakuwaje.
naona mmesajiri striker aliyeshukisha timu daraja huko
Makolo mnafarijiana kwa kumleta kocha msiemuelewa vyemaJinsi Utopolo wanavyotafuta faraja...
somebody mashaka, jina lenyewe tu tayari inatia shakaYupi huyo?
Tulimuelewa vyema Benchika na akashindwa ngoja aje huyo msiemuelewa ili siku moja awafundishe kumuelewa...Makolo mnafarijiana kwa kumleta kocha msiemuelewa vyema
Hivi kumbe geita imeshuka daraja nilikua sijui..somebody mashaka, jina lenyewe tu tayari inatia shaka
Maritzburg United ya Morocco, au sio?Eti tunachukua kocha kutoka Maritzburg United.
Mpumbavu hujibiwa kipumbavu, Mama yetu Samia ndiye pekee aliyechagua kukaa kimyaa wengine wapumbavu tunaruka nao.Ungemjibu kwa hoja na sio kwa kupanic na matusi, hadi hapo wewe ndio unaonekana mjinga
Tulia Wewe Kolo WizardKwahiyo Raja Casablanca siku hizi ipo south. Hivi utopolo hamjaongezeka tu wenye akili ukitoa wale wawili?
Well saidHoja hujibiwa kwa hoja, upumbavu hujibiwa kwa upumbavu
SijaelewaWell said
Eti tunachukua kocha kutoka Maritzburg United. Kwanza kaishusha daraja timu hiyo msimu uliopita na Msimu kagongwa vibaya ligi ya chini.
Nimefatilia Cv zake ni vichekesho mtupu.
Ndio yale ya Timu kupewa Cadena na Matola.
kama Mo hana ela zzakuendesha timu silazimishe sifa.
Eti alikuwa msaidizi Mamelod lini hiyo. Sasa
1. Anatoka timu iliyo ligi daraja la kwanza South Africa
2. Kati ya mechi 30 za mwisho kashinda 7tu na kapigwaa 10. Ligi daraja la chini uko uko.
3. Timu yake haijafika ata kucheza play of ili ipande daraja.
4. Alishawahi kuajiliwa Orlando Pirates akafukuzwa ndani ya robo msimu.
Hajui lolote kuhusu mechi za kimataifa.
Kocha mwingine wa mchongo mchongo.
View attachment 3034301
Msimu uliopita aliishusha pia timu hiyo daraja. Akiwa kocha.
Hana timu kwa sasa. Tim
Ni kocha mbovu zaidi kuliko wote South AAfrica
Timu yake inaitwa Maritzburg United
View attachment 3034289
View attachment 3034285

Sasa waseme cv yake ya ukweli wasitudanganye. Huyu ni kocha kwa miaka 7+ hana lolote. Anashuka toka kocha adi assistant huko tena Moroko. Timu ya mbali uko viwango vya Africa kuja kuwa Leo anapewa timu bora namba sita Africa.Vincent Company, aliishusha daraja timu yake EPL. Lakini kaajiriwa na Bayern Munich, wabongo acheni ujuaji hapo akifanya wonders sijui mtasemaje. Kocha aliefundisha Getafe alitufikisha wapi?