Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
hippocratessocrates Nadhani naelekea kukuelewa isipokuwa bado kidogo tu hapo kwenye elimu.Mkuu Mwita Maranya,..hatusemi sisi "binafsi" bali ni utaratibu na hivyo hilo ndilo nadhani lililojadiliwa sana hapa!Yaani he should have a Bachelor of MD, na MPH, 7yrs experience..Na kama ndivyo equating ya Diploma ni sawa na MD,..inakuwaje AMO mwenye EXPERIENCE bado arudi shule tena ili awe MD, If masomo, na cheti kina usawa??
Ukweli ni kwamba, AMOs na MDs kuna UTOFAUTI(ambao watu wameshachangia kabla) lakini kiutendaji wanategemeana!
Pili inategemea katika sera na utaratibu wenyewe, kwamba katika level gani anakuwepo nani, wangapi, wakitoa huduma kwa watu wangapi na chini ya usimamizi wa nani..Hii huanzia katika Dispensary(Zahanati), Health Centre/Kituo cha Afya, Hospitali(Wilaya, Teule, Mkoa, Rufaa, Taifa).
Binafsi nadhani, kuna udhaifu uliopo katika sekta ya Afya, ikiwa ni utofauti wa wazi kati ya MDs na AMOs.(ingawa si sehemu zote)..mfano(mkuu japo nilisoma Ufundi Civil Engineering sijui katika taaluma yenu huko ukoje)..tulikuwa tunafundishwa(shuleni) "HIVI NDIYO INAPASWA" na si kwanini tunapaswa kufanya hivyo...yaani unaweza
ukakuta watu wanabishana the mason v/s foreman..na hii ndiyo hasa tatizo huku kwenye sekta yetu ya Afya...wengine kufanya kwa mazoea na wengine kuhitaji utaratibu ufuatwe!
AMOs wanahold Ordinary Diploma ama ni Advanced Diploma? kwakuwa hizo ni ngazi mbili za kitaaluma zilizo tofauti. Mtu mwenye Ordinary Diploma akitaka kujiendeleza kitaaluma anaweza kusoma Bachelor ama ADvanced Diploma ambazo ni level za juu yake kielimu.
Katika mjadala huu tangu mwanzo imetajwa kwamba RMO mteule wa Simiyu ana Advanced Diploma, lakini kwa maelezo yako hapo juu ni kama vile unasema RMO mteule ana ordinary diploma. Hapo ndipo ningependa kupata ufafanuzi wako ili nikuelewe vizuri.
Last edited by a moderator: