Kituko kingine Wizara ya Afya, Waziri abariki uteuzi wa AMO kuwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu


msahau kupewa kazi nyie mnaogoma goma kisekondari
 
Eidha tuwekane sawa kidogo kuhusu hili suala la Assistant Medical Doctors na Medical Doctors.Hawa madoctors bwana wanafanya kazi sawa sema tofauti inakuja ktk ngazi ya elimu!Kwamba hawa assistant wameungaunga kutoka CLINICAL OFISA hadi kua AMO,na MDs ni miongoni wa wale waliojitahidi kutoka AMO hadi kufika MDs au wanaotoka moja kwa moja toka chuo.Ila nikukumbushe kitu kimoja mtoa mada kwamba,hawa Clinical ofisa's na AMOs wanauwezo mkubwa sana kuliko hawa wanaotoka moja kwa moja Chuo.
 

kumbe tatizo lako ni jina na wala sio kazi ambazo mtu huyo atazifanya kwa nafasi husika. Tatizo lako ndugu radii ni lile lile kuamini kuwa dkt anaweza kila jambo hata ambalo si la kitabibu. Ingekuwa hivyo basi hata katibu mkuu wa wizara ya afya inabidi awe dkt. Narudia kusistiza kuwa nafasi ya dmo, rmo ni ya utawala. Sio lazima dmo au rmo aingie wodini for prescription. Wewe uelewa wako ni mdogo sana na pia sina hakika kama unajua majukumu ya dmo na rmo.

Nafasi ya rmo ni uongozi (management) hakuna ulazima ikashikwa na physician, ipo haja ya ku-review mfumo wa afya kwani sehemu kubwa ya madaktari wamejikita kwenye masuala ya uongozi ili hali madaktari wanaoshughulika na wagonjwa moja kwa moja ni wachache sana.

Sina shaka na uelewa wangu, naijua vizuri sana sekta ya afya na nimefanyakazi huko muda mrefu tena karibu kila ngazi. Tubadilike.
 
kama issue ni experience basi tuna ma DMO ambao ni MD MPH wenye experience kuliko yeye kwa nini wasipewe cheo hiko?punguzeni ujuaji.
 
nyie ndio wale mnaoamini kuwa kila anayevaa koti jeupe maeneo ya hospitali ni doctor au nurse.

Huwezi kumfananisha mtu aliyesoma kila kiungo cha mwanadamu na yule anayesoma guidilines kutibu.

Yoyote aweza kufundishwa na kukaririshwa jinsi ya kutibu lakini si wote wenye uwezo wa kureason kwa nini anatibu.kwa maneno mengine AMO atakutibu malaria lakini MD atajiuliza kwa nini umepata malaria,atakushauri nini ufanye ili usipate malaria na atakufuatilia kuona madhara yatokanayo na malaria hayaendelei.kwa ufupi kuna tofauti ya mlima na kokoto kati ya wawili hawa.
 
tangazo lilitolewa waliopeleka maombi ni ma AMO na ma CO, ndiyo sababu yeye amechaguliwa.
Hata hivyo inawezekana kuongoza. Jk ni dk, akina mawaziri professors... Wako chini yake.

JK hana PHD ya kitaaluma, wanamuita docktor b'se of PHD ya heshima aliyopewa, hivyo usilinganishe PHD yake ya heshima eti kuongoza proffessors!!!!
 
1. Waziri wa Afya na timu yake wamewazarau wakazi wa mkoa wa Simuyu kwa kuwateulia Mtu ambaye hana sifa kushika nafasi ya Mganga mkuu wa Mkoa

Una uhakika gani kuwa hana hizo qualifications? Advanced Diploma ni equivalent na degree. Kama ana postgraduate qualifictions wanazozitaka sioni shida yoyote. Afterall hicho cheo kazi zake ni za kiutawala zaidi na ndiyo maana wanataka mtu mwenye experience kwenye leadership and management.

2. Waziri wa afya na Timu yake amewazarau Medical Doctor wote Tanzania wenye sifa ya kushika wadhifa huo na hasa amewadharau Waganga wakuu wa Halmashauri waliopo katika Mkoa wa Simuyu ambao wanasifa za kutosha na kuliko Bosi mteule wa wawaziri na CMO
This is a cry baby argument. Ni as if unasema kuwa medical doctors wote wa Tanzania wana postgraduate qualification in public health and extensive experience in leadership and management.

3 Waziri na timu yake wanamtengenezea mazingira magumu AMO huyo aliyeteuliwa kushika wadhifa wa RMO kwani hataweza kuwasimamia Madaktari ambao wanamdhidi sifa na kisomo na hasa madaktari bingwa katika mkoa huo
Assumptions. Unachojaribu kusema ni kwamba kiongozi bora lazima awe na qualifications zaidi ya anaowaongoza. Kwa mfano, form five na form six watamdharau kiranja wa shule kwa sababu yeye ni form three or four?

4. Jumuia ya Madaktari Tanzania kwasasa inafanya mawasiliano na MoHSW kutengua uteuzi huo na kama wakigoma MDs wote Tanzania wataingia katika Mgogoro na Serikali 5. Huu ni upuuzi mwingine wa wizara ya Afya na OWM TAMISEMI
Hakuna atakayewaunga mkono kwenye huo mgomo. In fact it is a silly thing kugoma kwa uteuzi wa kiutawala kama huo. Madaktari kazi yao ni kitibu siyo kutawala. Stick with your profession.

5. Uteuzi huu unabaraka za JK kama ulivyo uteuzi wa Majaji fekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Rubbish! Majaji hawateuliwi kuongoza bali ku-judge.

6. Waziri aombe radhi kwa MDs wote Tanzania kwa dharau aliyowaonesha

Only the silly MDs will do this.
 

umesema vema. Vile vile, wkt AMO anafundishwa jinsi ya kupasua, MD anafundishwa
1. When to cut
2. What to cut
3. How to cut
4. When and what not to cut.
Na hao wanaodai CO na AMO ni wazuri kuliko MD, kwa kigezo cha uzoefu, wanashindwa kufikiri.
MD akitoka chuo, ni wazi akimkuta AMO kazini, atakuwa anazidiwa skills, but baada ya muda fulani, MD anakuwa safi kwa skills na theory, wkt AMO anajua skils tu zaidi.
Na ikimbukwe kuwa MDs ndo walimu wa AMO kwenye vyuo, chini ya Specialist.
Wengi wenu wanamtazama MD anaeanza kazi tu, bila kujua kuwa kuna MD wapo kazini kitambo na wanapiga kazi.
Ht huyo AMO akitoka chuo akamkuta MD, atakuwa mweupe kwenye skils na atahitaji kujifunza na kupata uzoefu.
Na hao jamaa wanafanya malpractice nyingi sana huko wilayani, na ht malalamiko ya rushwa hosp, wahusika waku ni hao junior cadres.
 

Nimeshatibiwa na MD hawajawahi kunishauri nifanye nini ili nisipate tena malaria. Leave that aside this, it is shocking kwa MDs kugombea nafasi ya kiutawala kama hiyo.

Why would a reasonable and a well qualified MD agree to be responsible and accountable to the RAS on a day to day basis on administrative and technical issues? Khaa!

Be directly responsible and accountable to your patients, not to the dam RAS.
 

What skills are you talking here? On being responsible and accountable to the RAS on a day to day basis on administrative and technical issues?
 

usipende kuchangia issues husizozifahamu ili kulinda heshima yako!
 
mambo ya madoctor bwana !utashangaa kesho wapo mabwepande
 

chukua like yangu kaka
 
What skills are you talking here? On being responsible and accountable to the RAS on a day to day basis on administrative and technical issues?

Sikiliza wewe, unafaham majukumu ya DMO/RMO?
Kwa taarifa tu, wana kazi kuu 5:
1. Professional
2. Public health
3. Political
4. Training
5. Nimeisahau

Hapo kwenye professional na training, taaluma inahusika, huwezi ukafanya kazi ya ku supervise ma Dr kitaaluma wkt huna taaluma husika.
Mwisho utasema Engeneer wa mkoa/wilaya awe fundi Sanifu/fundi mchundo mwenye FTC, wkt wenye shahada na sifa za ziada wapo. Au Mwl wa cheti awe DEO/REO wkt wenye B. Ed na B.A. Ed na sifa za ziada wapo.
Hapa suala ni vigezo, km vinataja MD, apewe mwenye MD, usichoelewa kipi?
Unless wabadili vigezo.
 

MD kitu gani mbona tunawaona mnachemka tu sana kwenye management hasa za uongozi hata kutibu watu hovyo.
 

Acha kudanganya watu kwa taarifa yako tofauti ni ndogo sana wote wanareason nimesoma co,amo na sasa ni MD sijawa ona vitabu mfano cha medicine davidson tofauti kuanzia co mpaka MD the same book suala hapa ni kujituma tu tunaona ma MD hapa wanachemka hata kuandika dose tu Doctor gani unareason watu wanakufa tunao hapa hata kumanage pph wanashindwa AMO wanapiga kazi ile mbaya maisha ya watanzania wengi yanaokolewa na AMO na CO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…