Hembu nipe tofauti ya AMO na MD Kiutendaji kwa hapa kwetu Tanzania acheni kutishatisha watu nasema sioni kipya na kutaja kitabu ni Mfano tu na hiyo Das kubwa sijui ndogo sijui bailey and love ni vitabu tu sijawahi kuona tofauti ya mgonjwa aliyetibiwa na MD na AMO wakapona tofauti,hembu nambie hao ma MD tangu timeanza kuwapa uongozi wa URMO mpaka DMO wamefanyanini kama sio uoza tu.
mkuu mbona AMO na COs wanapata degree!!nenda bugando na KCMC.
tatizo mnataka madaktari wa vodafasta kama ilivyokuwa kwa walimu.
halafu kama hujui vitu ni bora ukakaa kimya au kuchangia kule chitchat na facebook
Nawe usiwe unakurupuka huko wanaanza na moja yaani hata mambo ya msingi wanayoyajua zaidi kuliko Fresh from School inabidi warudie. Taasisi husika ilitaka kuwapa career path ambayo ingewapa Bachelor of Clinical Medicine ( miaka mitatu) kwa wale ambao wamekuwa AMO (wakifanya kazi ) kwa zaidi ya miaka 5 hii ndiyo ambayo ilipingwa eti AMO aendelee kuwa AMO
sidhani kama unaelewa hoja hapa! moja ya kigezo kuwa RMO ni lazima huwe daktari wa binadamu(MD). Kwasababu hiyo AMO siyo daktari. hata huyo muhusika ukimfuata leo anajua yeye siyo daktari. anajua akitaka kuwa daktari ni lazima arudi shule kusoma!
Kwa hiyo medical assistants siyo professionals?
Medical assistants hawana taaluma?
kuna medical attetands(nurse assistant) na assistants clinical officers ambao wamehudumia kwenye dispensaries kwa zaid ya miaka 5 naona na wao utasema wasome 3 years halafu wapewe degree.Nawe usiwe unakurupuka huko wanaanza na moja yaani hata mambo ya msingi wanayoyajua zaidi kuliko Fresh from School inabidi warudie. Taasisi husika ilitaka kuwapa career path ambayo ingewapa Bachelor of Clinical Medicine ( miaka mitatu) kwa wale ambao wamekuwa AMO (wakifanya kazi ) kwa zaidi ya miaka 5 hii ndiyo ambayo ilipingwa eti AMO aendelee kuwa AMO
Kama AMO sio daktari,anaitwaje kiswahil? Tuelimishe
Kuna Profesional ranks. Mtu mwenye certificate(clinical assistant na sio medical assistant) hawezi kum supervise kitaaluma mtu mwenye MD, kwani kuna mambo mengi mno hajui, atashauri nini na kukosoa au kuweka imput ya kitu asichofaham vema?
Ndo maana yeye level yake ni kusimamia village health post, wala sio dispensary, maana dispensary ni level ya Clinical Officer(mwenye diploma).
Huwezi kuwakuta AMO au CO kwenye referal hosp, kwani level yao kitaaluma hairuhusu, japo wana taaluma.
Kimsingi, AMO taaluma yake ni Diploma ya tiba jamani, ile miaka miwili ya AMO wanafundishwa surgical skills ili kujaribu kuziba pengo la MD.
Siku hz MD wamekuwa wengi, wamekuja kuchukua nafasi zao, wapishwe.
Na hao AMO hasa waliopata kuwa maDMO, hushikwa na hofu sana MD anapotia timu wilayani, kwani huyo ndiye right person kwa nafasi hiyo, walichokuwa wanafanya ni kuwa harass ili MD wakimbie kule.
Nowadays MDs wanakomaa nao huko huko wilayani, na mambo yameanza kubadilika.
kuna haja ya kutengeneza dress code tofauti kama ilivyo kwa manesi.AMO Anaitwa msaidizi wa daktari.
CO anaitwa tabibu
CA anaitwa tabibu msaidizi.
Ila kwa Tz, kila mwenye koti jeupe na stethoscope, anaitwa Daktari tu.
Lkn Madaktari ni wale waliosajiriwa na Medical Council of Tanganyika, ambao pia huitwa Medical Officer(MO),
au Registrars!
Nadhani hapo umenipata.
AMO Anaitwa msaidizi wa daktari.
CO anaitwa tabibu
CA anaitwa tabibu msaidizi.
Ila kwa Tz, kila mwenye koti jeupe na stethoscope, anaitwa Daktari tu.
Lkn Madaktari ni wale waliosajiriwa na Medical Council of Tanganyika, ambao pia huitwa Medical Officer(MO),
au Registrars!
Nadhani hapo umenipata.
AMO Anaitwa msaidizi wa daktari.
CO anaitwa tabibu
CA anaitwa tabibu msaidizi.
Ila kwa Tz, kila mwenye koti jeupe na stethoscope, anaitwa Daktari tu.
Lkn Madaktari ni wale waliosajiriwa na Medical Council of Tanganyika, ambao pia huitwa Medical Officer(MO),
au Registrars!
Nadhani hapo umenipata.
Inaonekana umesoma UDOM chuo chenu cha kata we mama.
the truth is wengi hampigi hesabu, hawa maRmo wote ni wakaa oficn 2,piga hesabu wako 26 na maDmo zaid ya mia,hawa wote wakiwa oficn hamuon km wanazidisha ugumu wa tiba kwa watanzania!
Dala dala nawachukia sana watu wa dala dala lakini kwa bandiko lako hili nimefurahi ingawa uwa sipendi kusikia kitu daladala baada ya mmoja wa madereva wao kunigonga. Lakini arrogance ya hawa wanaitwa MD ni kubwa na madhara yake ni mengi sana. Tuanzie babu, waganga uchwara mitaani n.k. Ukiangalia kwa umakini afya ya watanzania imo mikononi mwa AMO na wala si hawa MD km wanavyotaka kujulikana. Hawa watu ni waovyo (majority) na self centered. Kuna shirika moja lilitaka kusaidia kuanzisha hivi huoni aibu kushabikia watu kuanzisha vitu vya majaribio nchini kwako? Mbona advanced diploma za vitu vingine zimefutwa? Ni nchi gani nyingine wanatrain amo? Sasa hivi watu wanatoka diploma kwenda degree kwanini ujiite equivalent? Ni nchi gani nyingine wanatoa degree ya miaka mitatu ya udaktari?
kwahiyo kila mgonjwa anaeonwa na CO lazima awe refered hata mwenye gono haya ni maajabu ya dunia mkuu.nijuavyo anayetibu clinically ni CO katika zahanati ya huko vijijini isiyokuwa na vifaa vya maabara na mara nyingi atatoa matibabu ya awali kabla ya kumrefer mgonjwa kwa hospital level.
Huwezi kuwa na Diagnosis bila investigations,usipotoshe unachokuwa nacho ni provisional Dx.hata magonjwa ya akili utahitaji kufanya investigations za rule out organic causes ili kufikia hitimisho.
Uwepo wa vyuo vya kata kama IMTU n.k umetuletea watu wa aina yako.
mkuu mbona AMO na COs wanapata degree!!cha muhimu wakubali kusoma 5 years tu !wapo wanaojiendeleza na kuwa MDs nenda bugando na KCMC,IMTU utawakuta wa kutosha.
tatizo mnataka madaktari wa vodafasta kama ilivyokuwa kwa walimu.
halafu kama hujui vitu ni bora ukakaa kimya au kuchangia kule chitchat na facebook
kwahiyo kila mgonjwa anaeonwa na CO lazima awe refered hata mwenye gono haya ni maajabu ya dunia mkuu.