Hembu nipe tofauti ya AMO na MD Kiutendaji kwa hapa kwetu Tanzania acheni kutishatisha watu nasema sioni kipya na kutaja kitabu ni Mfano tu na hiyo Das kubwa sijui ndogo sijui bailey and love ni vitabu tu sijawahi kuona tofauti ya mgonjwa aliyetibiwa na MD na AMO wakapona tofauti,hembu nambie hao ma MD tangu timeanza kuwapa uongozi wa URMO mpaka DMO wamefanyanini kama sio uoza tu.
Jibu swali, km hukuona tofauti ya AMO na MD, why ulienda kupoteza miaka yako 6 ili uwe MD, wakati uponaji wa wagönjwa na utendaji ni ule ule?