ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Kwani kauli hii kasema kiongozi wa Dini hapa Tanzania? au kasema kiongozi yeyote ambaye ni muislamu kiimani? Katiba iko wazi mbona, hii tabia kufanya mjadili vitu vidogo vidogo ndio shida kubwa ya nchi hii, na ccm wanajua hili jambo, kuwa hamna uwezo wa kujadili vitu vikubwa ndio maana vitu vya kipuuzi vinapewa nafasi kubwa mitandaonihatutaki udini udini, kila mtu ana dini yake akaiabudu kivyake huko kwenye majumba ya kuabudia. Hii ni secular state na sio islamic republic