Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

Ingekuwa wakati ule wa kukemea kila kiashiria cha udini kutamalaki serikali ya zimbabwe ingelazimishwa kufuta tamko hilo la kuiita Tanzania ni jamhuri ya kiislam, ila kwa sasa inaachwa tu. Kuna siku nchi nyingine nayo kwa mbwembwe itatamka hivyo na itazoeleka kuwa nchi inaitwa jamhuri ya kiislam na hatimaye kuibuka muswada ipitishwe kisheria iwe jamhuri ya kiislam kwa hoja dhaifu ya udini. Hii ni sawa na kisa cha kumruhusu ngamia kuingiza kichwa hemani atataka kuingiza mwili mzima na hatimaye hema kubomoka
 
Hata ikiitwa ya kipagani, shida iko wapi?
Kimsingi nchi ni ya KIPAGANI ila raia wake ndiyo wana dini kama Wakristu 55%, Waislamu 40%, imani ndogondogo kama Budha, Hinduism, Bahai etc 5%
 
Hii shida yako sasa imeitwa ya kiislamu na hakuna kiungo chako kimepungua, na hakuna kitu utamfanya yule jamaa wa Zimbabwe
Mama yupi wa Zimbabwe?? Watu mna stress zenu hamjui hata mnachoandika JF
 
ZIje tu , hakuna shida yoyote sheria ni sheria tutatii
unawezaje kutii sheria ambazo ni mateso na kikwazo kwako, zile sharia za kiislam kule afghanistan na kaskazini mwa nigeria ndio unataka zije? Hatutakubali upuuzi na ushetani huo uje
 
Tukishakuwa nazo itakuwa hauna namna inabidi utii tu ...
 
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Tanzania Is NOT a damn Islamic Republic, we are NOT a terrorist state at all.
 
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
IRT URT :BANNED:
 
Duuh kuanzia lini tumekuwa state ya Islam?!!!!!!
 
Hiyo ndio ajenda ya siri ya wateule wenu kuunadi uislam kupitia serkali yenu. Mzee hahakosea zaidi tu ni kwamba amevujisha code za Samia.
 
Back
Top Bottom