Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
Sio ndoto bali ni ahadi ya Allaah ambayo twaamini siku moja , mwaka fulani huko mbeleni itatimia.Mkuu naona swaumu inakupa ndoto mbaya. Ila nakushauri ukiona choo kwenye ndoto amka mara moja, UTAKUNYA bila kutatajia
NI SWALA LA MUDA TU!.
Kama sisi hatutaiona Islamic empire basi watoto wetu wataona, na Kama si watoto wetu basi wajukuu zetu au wajuku wa wajukuu zetu Inshaa Allaah.