Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

How Emmerson Mnangagwa and Dr. Mohamed Janabi as celebrities benefit through media airwaves: are about 'mishaps'..


View: https://m.youtube.com/watch?v=GR2C96ZSgyI
1742289786292.jpeg
 
Hii salamu wala siyo udini, na kama ina dini basi inafaa kwa dini zote. Tafsiri yake ni kumtakia amani anayesalimiwa. Kwani kuna mtu asiyependa amani? Hata katika Biblia imeandikwa Yesu alipokuwa akiwatokea wafuasi wake aliwasalimu "amani iwe kwenu", ndiyo "assalaam alaykum".
Lakini ukisalimia "Bwana Yesu asifiwe" au "Tumsifu Yesu Kristo" unamwalika unayemsalimia ajumuike nawe katika imani yako ya kumsifu Yesu Kristo, ambayo pengine hakubaliani nayo. Salamu hii inafaa kwa wenye imani moja kwa Yesu, lakini kwa wengine inaweza kuwa makwazo.
Hata wapagani wanahitaji amani, kwa hiyo salamu ya kutakiana amani ningeichagua iwe ndiyo standard maana inawafaa wote, wenye dini na wasio na dini. Mnaonaje ikatafsiriwa kiswahili "Amani iwe nanyi" na tukaitumia badala ya ile salamu ya mama ya "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania......"
elewa kwamba hiyo ni salamu ya waislam
 
Kuna nini nyuma ya pazia kwa nini Tanzania iitwe jamhuri ya kiislamu kwa wakati huu wakati awamu karibia zote zilizopita haikuitwa hivyo isipokuwa awamu ya pili nayo chokochoko kama hizi zilianza zikadhibitiwa na Nyerere,awamu ya tatu zilibuka tena zikadhibitiwa na Mkapa kwa mkono wa chuma,safari kulikoni?.
Tatizo, viongozi wakristo ni waelewa sana, Nchi haina dini ni secular state, ila tumefikishwa hapa kwa sababu ya Katiba iliopitwa na wakati.
Na hao viongozi Wakristo waliopita walitikiwa waone ubovu wa Katiba, na kuibadilsha mapema. huko mbele kuna Hatari kwa Nchi kuganwanyika kwa sababu ndogo ndogo, kama hizi.
 
Vyombo makini vya Zimbabwe vimeamua kujibu mapigo, baada ya uvumi huu nchini Tanzania kuenezwa kwa makusudi :
14 March 2025
WATCH LIVE: Mnangagwa accuses Zambia of funding Zimbabwe war veterans


View: https://m.youtube.com/watch?v=qATTU6BSPbI War veterans leader, Ethan Matibela has revealed that the Mnangagwa government followed him in Zambia and accused the government of President Hakainde Hichilema of helping the War veterans.

Matibela says sources in the Zimbabwe security sector told him that this has resulted in the Mnangagwa government sending mercenaries to take him out.

Matibela says he has been approached numerous times by state security agents and most of the time they want to acquire intelligence from him. Key events for today

1. Blessed Mhlanga's bail application continues today
 
Fafanua.....mimi nina qkili timamu ya kuona mbele hayo mambo wengi wenu kwa kukosa akili hamuoni madhara yake...je akija rais mkristo akafanya kinyume chake msije mkalia...maana ndivyo itakavyo kuwa....kuna vitu tuna sema ni NONSENSE ndiyo hivi mnavyo shabikia maana vitakuja kuwa umiza nyinyi wenyewe mara 3 ya mlivyo waumiza wengine ...kumbukeni kwa sasa duniani hakuna nchi ya waislamu yenye nguvu isipokuwa Iran tu nayo ishukuru urussi maana wairani walitumia akili kujikomba kwa warusi ambao ni wakristo.
Hivyo ukimuona mtu anashabikia mambo ya dini kuingizwa serikalini jua huyo mtu ni mpumbavu au ana ajenda ya kulisambalatisha taifa ...kumbuka nilitoa onyo hapa kuwa nchi yetu ipo mikononi mwa RAIA FEKI hao raia feki kwao Tanzania siyo kitu wanachowaza ni kuifisidi nchi usiku na mchana na kutorosha pesa kwenye nchi zao wanazo zipenda
Extremists Galatians mfano LOTH HEMA , wewe na wengineo unawajua tu jinsi mnavyolalama utadhani serikali yetu ya JMT ndio imefanya hao kumbe ni Wazimbabwe wenyewe.

Embu taja vitu vya udini vilivyofanywa na hii serikali.
 
Extremists Galatians mfano LOTH HEMA , wewe na wengineo unawajua tu jinsi mnavyolalama utadhani serikali yetu ya JMT ndio imefanya hao kumbe ni Wazimbabwe wenyewe.

Embu taja vitu vya udini vilivyofanywa na hii serikali.
hilo kosa ni sensitive kwa nchi yetu isiyo ya kidini kunasibishwa na uislam. Hatujapenda kwa kuwa nchi hii haiongozwi kwa misingi ya dini. No matter kosa hilo ni la maksudi au bahati mbaya haliwezi kufumbiwa macho tutalikemea tu. Msituite wenye misimamo mikali wakati haya yakifanyika upande wetu tunayakemea vilevile, rejea mada za mitume na manabii feki na mafundisho yao na yote yasiyopendeza
 
Extremists Galatians mfano LOTH HEMA , wewe na wengineo unawajua tu jinsi mnavyolalama utadhani serikali yetu ya JMT ndio imefanya hao kumbe ni Wazimbabwe wenyewe.

Embu taja vitu vya udini vilivyofanywa na hii serikali.
adrz, ITR nyie ndio islam extremists pro max hamuachi kuona uchungu dini ikitajwa na sisi wengine wasema ukweli
 
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Tutaanza kumulikwa kama taifa la magaidi. Najua waislam wanafurahia sana kuitawala dunia lakini haiwezekani. Surat Yunus 10:94.
 
Labda hapa ilipofikia wakristo walioko ccm wataamini tunachosema siku zote..CCM NI CHAMA CHA WAISLAMU na hivyo kwa vile ndio chama kinachotawala ni sawa nchi kuitwa Islamic Republic..! Rais Mnangagwa hajakosea..
Labda kwa vile waislam Tanzania ni 75% ndio maana
..inaweza kuwa zaidi ya 85% sabab wakristo wengi ni wakristo wa majina tu lkn matendo na tabia zao ni waislamu.
 
hilo kosa ni sensitive kwa nchi yetu isiyo ya kidini kunasibishwa na uislam. Hatujapenda kwa kuwa nchi hii haiongozwi kwa misingi ya dini. No matter kosa hilo ni la maksudi au bahati mbaya haliwezi kufumbiwa macho tutalikemea tu. Msituite wenye misimamo mikali wakati haya yakifanyika upande wetu tunayakemea vilevile, rejea mada za mitume na manabii feki na mafundisho yao na yote yasiyopendeza
..unapoteza muda bure kutetea jambo lilishafika point of no return..ccm ni chama cha waislamu hapo kilipo, mkristo mkatoliki au mprotestant au mpentekoste hawezi kubaki ccm kwa hali kilivyo sasa..kutajwa Islamic Republic ni kitu kdg sana, kemea matendo na maamuzi yanayofanyika na serikali au taasisi zake yenye sura ya uislamu!
 
Back
Top Bottom