Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

Watuombe radhi kwanini wakati yawezekana sisi ndo kiaina tumehitambulisha hivyo?

Inawezekana tukawa tumeingizwa Jumuiya za Kiisilam kimya kimya. Wakati wa Mwinyi walifanya hivyo kwa Zanzibar. Bila Nyerere, ilikuwa imetoka hivyo. Leo Nyerere hayupo. Hamna wa kuwazuia wakitaka.

Ila kwa hili Mnangagwa kalitoa wapi. Au kwa vile mambo yetu nengi siku hizi yako ile mtaa kwa Wajomba...?
 
Siku hizi hakuna wa kudhibiti na kukemea udini, ukobazi umejaa tele kila kona ya nchi. Nchi ina brandi wa kama ya kikobazi na ukobazi umepenya mpaka taasisi za kifedha. Media nyingi za kesekula zina promote ukobazi kama lile tukio la kipuuzi ambako limei brand Tanzania kuwa ni nchi ya kikobazi. Sasa mataifa mengine yakiona hivyo si yatajua kuwa hii ni jamhuri ya kikobazi? Naam, ndio kipindi ambacho ukobazi unatangazwa karibu na kila taasisi mpaka na makampuni ya simu yanaandaa misosi ya kikobazi kwa wateja wao
 
Kama sio madhara ya copy-edit and paste, basi itakuwa wamelipa kisasi maana Kuna Waziri mmoja wa Tanzania aliwahi kusema Tanzania ni union ya Tanganyika na visiwa vya Zimbabwe
Huyo alikuwa ni Mbunge wa jimbo la Songwe na Naibu Waziri wa Elimu wakati wa Kikwete. Jina lake Phillip Mulugo. Jamaa ni cheti feki lakini aliweza kuwa Waziri
 
Asilimia 90 viongozi ni waislamu kamnanga tu samia
Tanzania bila
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
uislamu is nothing! Allah akbar
 
CRDB wanakuletea Al-Barakah huduma ya kibeniki ya kiislamu na ni spesheli kwa watu wa juu wa serikalini. Sio maneno yangu ni maneno yao. Sidhani kama wamekosea maana wamesema lisemwalo lipo kama halipo lipo njiani linakuja.
1742277756351.png

We ni mjinga
Siku hizi hakuna wa kudhibiti na kukemea udini, ukobazi umejaa tele kila kona ya nchi. Nchi ina brandi wa kama ya kikobazi na ukobazi umepenya mpaka taasisi za kifedha. Media nyingi za kesekula zina promote ukobazi kama lile tukio la kipuuzi ambako limei brand Tanzania kuwa ni nchi ya kikobazi. Sasa mataifa mengine yakiona hivyo si yatajua kuwa hii ni jamhuri ya kikobazi? Naam, ndio kipindi ambacho ukobazi unatangazwa karibu na kila taasisi mpaka na makampuni ya simu yanaandaa misosi ya kikobazi kwa wateja wao
Mmoja hivi hauna akili kabisa na udini utakuua mjinga mkubwa wewe
 
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Hata kwa hili tunamshukuru sana mama
 
Sasa hivi tunapelekwa mdogomdogo kama vile kumbikiri demu ikishaingia yote tunapelekewa moto,hapo walifanya makusudi kupitia kwa kizimkazi na wawakilishi wake kupima upepo wa watanganyika, ikishaonekana hakuna reaction kubwa ndo itaimbwa rasmi na machawa wake, kisha kufanya marekebisho madogo ya katiba
 
Back
Top Bottom