Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Wazanzibari hawa wanaouza taifa letu kwa magaidi
 
Udini udini mtaumia sana kam mkiendekeza udini kwan kusema IRT ndio mnabadilishwa dini mnakua waislam? Eneweiz endeleen kuendekeze udini kana kwamba mtabadilishwa muwe waislam🚮 Kuna comment moja uko juu kaingiza mpk makampuni kufturisha wa2 yoooo em msipende kukuza mambo woii🙌
 
kwa udini huu wa taasisi ya kifedha nchi itaacha kuitwa jamhuri ya kiislam? Mara kampuni ya simu nayo imeandaa futari kwa wadau wake, ni udini mtupu kwenye mambo ya umma. Kule zanzibar kuna magazeti ya huko yanaonesha serikali ya huko na uislam ni kitu kimoja. Kila mara mwinyi yuko msikiti fulani, mara kakutana na imamu gani, mara kaswali msikiti gani inakuwa habari kubwa kwenye magazeti hayo. Udini umekuwa waziwazi na unatamalaki hakuna wa kuukemea. Akina mnangagwa wanaona hii ni jamhuri ya kiislam
Nchi ya Tanganyika alipopata uhuru ilikuwa inatambulika kama ''uhuru mtakatifu'' unalijua hilo? Baadhi ya myth zilikuwa zinadai uhuru ulikabidhiwa kwa kanisa analotokea Nyerere , na mwanzoni kabisa ilikuwa inajulikana kikatiba kama nchi ya kikristo .

Sina maana kama ni udini ila nakukumbusha , baadaye ilikuja kurudi kama hadhi ya Tanzania ndiyo ikawa ya wote ..Ina maana kwa haraka waliangalia harakati za Hon. Mwalimu Nyerere kwa wakati ule na nyuma alikuwa na watu gani , na sasa wanaangalia za Mhe. Samia..Nahisi kuna tatizo sana katika uwakilishi wa nchi yetu , leo ukitafuta mmiliki wa nchi unaambia ni Mo dewji .
 
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Hiyo siyo bahati mbaya ni agenda ya siri niliyo waambieni hapa inayofanywa na raia feki wakishirikiana na waislamu wa nchini ....wakati huo huo wakristo wakipandikiziwa mitume feki ili kuwa pumbaza siku kwa siku hao mitume kaziyao ni moja tu kufanya wakristo kupumbazika na kupoteza muda na kuwafanya wazidi kuwa mafukara ... wakristo wasio na akili wanadhani kina mwamposa ni wema kwao kumbe wanatumiwa na serikali ya raia feki wenye kushirikiana na waislamu kuwaangamiza ...kama nilivyo sema baada ya miaka michache hakutakuwa na mkristo tajiri isipokuwa mkristo mwenye kuanzisha kanisa na kuwapumbaza wakristo wenzake .. . Raia feki na waislam wasio wazalendo ndiyo wanazidi kujichimbia serikalini na kuchota utajiri na kuunda mifumo ya kifisadi kwa kisingizio cha ppp.
 
Hiyo siyo bahati mbaya ni agenda ya siri niliyo waambieni hapa inayofanywa na raia feki wakishirikiana na waislamu wa nchini ....wakati huo huo wakristo wakipandikiziwa mitume feki ili kuwa pumbaza siku kwa siku hao mitume kaziyao ni moja tu kufanya wakristo kupumbazika na kupoteza muda na kuwafanya wazidi kuwa mafukara ... wakristo wasio na akili wanadhani kina mwamposa ni wema kwao kumbe wanatumiwa na serikali ya raia feki wenye kushirikiana na waislamu kuwaangamiza ...kama nilivyo sema baada ya miaka michache hakutakuwa na mkristo tajiri isipokuwa mkristo mwenye kuanzisha kanisa na kuwapumbaza wakristo wenzake .. . Raia feki na waislam wasio wazalendo ndiyo wanazidi kujichimbia serikalini na kuchota utajiri na kuunda mifumo ya kifisadi kwa kisingiz8o cha ppp
Wewe ni Extremist Galatian
 
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Kwani kuna tatizo gani ikitambulika hivyo
 
Kingereza unakijua? Wa Zim ni kama wakenya walikaa na Setlers kwa muda mrefu wanakitema kama Britain
Mkuu mbona huko tumevuka sana? Au wewe ni sampuli moja na akina Jenista na Ndalichako? Au na waziri Ulega??
 
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Wasahihishe mambo mawili:
1. Jina la Jamhuri yetu ni United Republic of Tanzania
2. Jina la waziri ni Mahmoud Thabit Kombo

Halafu wataje chanzo cha kukosea (source of error). Je, ni waziri huyo alijitambulisha hivyo? Je, ni waziri huyo aliitambulisha hivyo nchi yake?
Ninachoshangaa zaidi, comrade Mnangagwa na wenzie wa kizazi kile cha kupigania uhuru akina Mugabe, Sam Nujoma, waandamizi wa ANC ya South Africa nk wameishi sana Tanzania na kufanyia harakati zao hapa, na hawakuwahi kusikia jamhuri hii ikiitwa hivyo. Mnangagwa amepata wapi hiyo taarifa mpya?
 
Ccm ndio tatizo ili ata aliyefariki naye alitaka serilaki iwe kanda ya ziwa.

Katiba ya tanzania ni ya ovyo kufanya raisi anavyo taka.

Siku ikitokea raisi ni mnyakusa tegemea kuongea kinyakusa
Kuna wakati tulisemeshwa kisukuma kwenye mikutano ya hadhara! Na tukaaminishwa kuwa wasukuma peke yao ndio "wazarendo" halisi wa nchi hii!
 
Angalau Mzee Mudy atupumzishe na hoja zake za mfumo Kristo.
Typing error ni kuandika Tanzanua badala ya Tanzania na sio kuandika Islamic.
Sioni tatizo kwenye hilo, as far tuna Imani zaidi ya 14 na Uhuru wa kuabudu kuanzia Ibada za kawaida hadi fellowship za Jioni na asubuhi

Naweza kukiri kwamba itakuwa ni typing error tu

Tuwasamehe bure
 
Eti "Experienced Cardiologist"....Watu wanachekesha sana....kasomea wapi?...
Public health specialist?...
Kwani cardiology si ndiyo yale masuala ya moyo ambayo Dr Janabi yamemweka kwenye media akawa maarufu? Siku zote nimeamini kuwa Dr Janabi ni cardiologist kama yule mzee wa kihaya aliyekuwaga na hospitali pale Sea View, Prof Lwakatare.
 
Back
Top Bottom