Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Kuna wakati huwa ni maelekezo toka juu, huenda hiyo delegation iliambiwa ikajitambulishe hivyo
 
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Inaweza ikawa sio bahati mbaya hii
 
Kuna nini nyuma ya pazia kwa nini Tanzania iitwe jamhuri ya kiislamu kwa wakati huu wakati awamu karibia zote zilizopita haikuitwa hivyo isipokuwa awamu ya pili nayo chokochoko kama hizi zilianza zikadhibitiwa na Nyerere,awamu ya tatu zilibuka tena zikadhibitiwa na Mkapa kwa mkono wa chuma,safari kulikoni?.
 
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Mbona ghafla?
 
Back
Top Bottom