Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Na yule waziri wako aliyeitambulisha nchi yake kuwa ni Jamuhuri ya muungano wa Tanganyika na Zimbabwe mbona haukudai hayo.
 
Ameshajibiwa vya kutosha
Ni kweli, na HATIMAYE wame edit ule ukurasa. Sasa hivi inasoma vizuri kuwa ni ugeni kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Emmerson Mnangagwa.jpg
 
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.wa
v
 
Extremists Galatians mfano LOTH HEMA , wewe na wengineo unawajua tu jinsi mnavyolalama utadhani serikali yetu ya JMT ndio imefanya hao kumbe ni Wazimbabwe wenyewe.

Embu taja vitu vya udini vilivyofanywa na hii serikali.
Sijui faida hata moja ya uislamu tz wala ukristo tz ..hata tuzipe dini kipaombele kwenye mambo ya serikali....madhara ya hizo dini zenu feki mtayavuna hivi karibuni...wanasiasa washenzi wameshajua mbinu ya kufanikisha mambo yao ya kifisadi kwa kutumia dini kwa njia ya rushwa kufanikisha ufisadi wao serikali
 
Ila ukienda nchi zote za southern africa kama botswana, zimbabwe na malawi. ,kwao ukiwatajia tanzania wanachokiwaza ni zanzibar, kiufupi zanzibar ni maarufu kuliko dar es salaam kimataifa, na watu wengi wana picha ya zanzibar ni sehemu ya kiislamu tu
Wewe iandae kwenda VETA, elimu uliyopata awali haijakusaidia kitu. Hiyo ni habari ya uwongo. Zanzibar haiwezi kuwa popular katika nchi hizo kuzidi Tanzania (Tanganyika) kwa kuwa hizo ndizo nchi Nyerere alizisaidia kuweka kambi hapa kwa ajili ya uhuru wa nchi zao. Kwa taarifa yako miaka ya 1970-80 Nyerere alikuwa maarufu Zimbabwe kuliko Robert Mugabe. Na Nyerere ndiye aliyechagua tarehe ya uhuru wa Zimbabwe kwenye mzunumzo ya Lanzaster House. Nyerere alikuwa ndiye broker kwa vile Zimbabwe ilikuwa na makundi zaid ya matatu yenye itikadi tofauti ( ZANU, ZAPU, kundi la Abel Muzorewa na kundi la Ndabaningi Sithole). Ofisi zao zilikuwa Nkrumah Road Dar es salaam
 
Sijui faida hata moja ya uislamu tz wala ukristo tz ..hata tuzipe dini kipaombele kwenye mambo ya serikali....madhara ya hizo dini zenu feki mtayavuna hivi karibuni...wanasiasa washenzi wameshajua mbinu ya kufanikisha mambo yao ya kifisadi kwa kutumia dini kwa njia ya rushwa kufanikisha ufisadi wao serikali
Huo msimamo ni wa mtu mjinga..faida za ukristo-kupenda kufanya kazi, kujali wengine, kujitegemea sio kuomba omba..kinyume chake ni kwa dini tofauti na ukristo..
Acha unafiki!
 
Wewe iandae kwenda VETA, elimu uliyopata awali haijakusaidia kitu. Hiyo ni habari ya uwongo. Zanzibar haiwezi kuwa popular katika nchi hizo kuzidi Tanzania (Tanganyika) kwa kuwa hizo ndizo nchi Nyerere alizisaidia kuweka kambi hapa kwa ajili ya uhuru wa nchi zao. Kwa taarifa yako miaka ya 1970-80 Nyerere alikuwa maarufu Zimbabwe kuliko Robert Mugabe. Na Nyerere ndiye aliyechagua tarehe ya uhuru wa Zimbabwe kwenye mzunumzo ya Lanzaster House. Nyerere alikuwa ndiye broker kwa vile Zimbabwe ilikuwa na makundi zaid ya matatu yenye itikadi tofauti ( ZANU, ZAPU, kundi la Abel Muzorewa na kundi la Ndabaningi Sithole). Ofisi zao zilikuwa Nkrumah Road Dar es salaam
..kwa hiyo bado unadhani Rais Mnangagwa ameghafilika kutaja Islamic Republic..? basi unahitaji kusaidiwa uelewe.
 
Kwa mtazamo mwingine, naona kama Rais Mnangagwa amefanya makusudi ili avuruge fikra za wapiga kura huko tukose hiyo nafasi. Hao hao SADC ndio waliomkosesha Odinga nafasi ya uenyekiti wa AU kwa mbinu ya kugawa kura.
Mkuu unafikiria mbali sana. Hilo hata mimi naliona
 
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Inshaa Allaah.
Siku moja Tanzania ,Afrika na dunia nzima itakuwa jamhuri moja ya kiislamu.
Hiyo ni ahadi ambayo Allaah kawaahidi waislamu ila ni jambo la muda tu.
Ila kwa utabiri wa Munangagwa jamhuri ya kiislamu itaanzia Tanzania halafu ndio isambae maeneo mengine duniani!.
 
Ukute wapemba washaitangaza hivyo.

Aliekwenda Ammi Thabit, aliemtuma Haloo Samia, watake nini tena kina Ammi Cholo.
Malizia na anayetangazwa ni Mohammed Yakub! Hata kama ni mzaliwa wa huko Songea (Ruvuma ) ila majina si yaleyale ?!
Nadhani haya majina ya Mahmoud Thabiti na Mohammed Yakub ndiyo yamemchanganya Mnangagwa!
 
hii takwimu kobazi hawaikubali
Mwaka gani sensa ya kidini iliwahi kufanyika?

Ninachojua ni kwamba waislam ndiyo huiomba kila mara serikali ifanye sensa ya dini lakini serikali imekuwa ikikataa kujumuisha kipengele cha dini kwenye sensa ya idadi ya watu inayofanyika kila baada ya miaka kumi.

Waislam pia wanadai wao ndiyo wengi zaidi kuliko wakristo na dini zingine.
 
Back
Top Bottom