Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

Inahitajika ideology kubwa sana kuifanya Tanzania kuwa non secular state sio hizo propaganda uchwara...
 
Wewe iandae kwenda VETA, elimu uliyopata awali haijakusaidia kitu. Hiyo ni habari ya uwongo. Zanzibar haiwezi kuwa popular katika nchi hizo kuzidi Tanzania (Tanganyika) kwa kuwa hizo ndizo nchi Nyerere alizisaidia kuweka kambi hapa kwa ajili ya uhuru wa nchi zao. Kwa taarifa yako miaka ya 1970-80 Nyerere alikuwa maarufu Zimbabwe kuliko Robert Mugabe. Na Nyerere ndiye aliyechagua tarehe ya uhuru wa Zimbabwe kwenye mzunumzo ya Lanzaster House. Nyerere alikuwa ndiye broker kwa vile Zimbabwe ilikuwa na makundi zaid ya matatu yenye itikadi tofauti ( ZANU, ZAPU, kundi la Abel Muzorewa na kundi la Ndabaningi Sithole). Ofisi zao zilikuwa Nkrumah Road Dar es salaam
Mzee hata passport unayo?
 
Ccm ndio tatizo ili ata aliyefariki naye alitaka serilaki iwe kanda ya ziwa.

Katiba ya tanzania ni ya ovyo kufanya raisi anavyo taka.

Siku ikitokea raisi ni mnyakusa tegemea kuongea kinyakusa
Aloo awe mnyakyusa au mhaya, dadeki sijui itakuaje.
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Pale magogoni Ile white house kwa pale juu malangoni paneandkwaje na kwa lugha gani...!!?

Na kwann pasibadilishwe...!! Naamini majibu tunayo
 
Inshaa Allaah.
Siku moja Tanzania ,Afrika na dunia nzima itakuwa jamhuri moja ya kiislamu.
Hiyo ni ahadi ambayo Allaah kawaahidi waislamu ila ni jambo la muda tu.
Ila kwa utabiri wa Munangagwa jamhuri ya kiislamu itaanzia Tanzania halafu ndio isambae maeneo mengine duniani!.
Mkuu naona swaumu inakupa ndoto mbaya. Ila nakushauri ukiona choo kwenye ndoto amka mara moja, UTAKUNYA bila kutatajia
 
Pia Na Hilo Uliloandika,,Yote Kheri Tu.
Nakuhakikishia hii nchi haiwezi kuendeshwa na msikiti wala kanisa. Jaribu kufikiri vizuri baada ya kufuturu, yawezekana unathirika na mfungo
 
Ila pia kuna siri nyuma ya hili just keep silence
Na wewe tumechoka na uandishi wako!! Huwa unajifanya uko mbele sana na mambo ya TISS na CCM kumbe huna kitu.

Hii JF, tunatumia anonymous ID bado unaniambia ni keep silence? Sasa kama wewe ni mzalendo kweli kama unavyojitapa, unaisaidoaje nchi yako kama uta keep silent kwa mambo ya wazi kama haya??
 
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Oh my God.. inahuzunisha
 
Yawezekana mkataba DP World tuliona karatasi chache kati ya nyingi.
 
Back
Top Bottom